Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamwonea saana.... Sean ni kiungo adimu kwenye music ni mara chache kuwa na watu wanamna hii.Sean anaonewa ati??
Mkuu Avatar yako imetokana na series ya spartacus au jona tuUnamwonea saana.... Sean ni kiungo adimu kwenye music ni mara chache kuwa na watu wanamna hii.
Hana mafanikio makubwa saana kupitia music ila ni kiungo adimu. sina haja ya kukuwekea tracks alizofanya ama kushirikishwa maana unazijua.
The100 kama umeiona.. huyu jamaa aliwasnitch wenzake ila alikuwa kiongozi mzuri.Mkuu Avatar yako imetokana na series ya spartacus au jona tu
Nilitazama season 1 ila sikuimaliza yani nilikuwa kila nikiweka najikuta niko bsy na sim hvyo sielewi kila siku nafanya kuianza upya so nikaachama nayoThe100 kama umeiona.. huyu jamaa aliwasnitch wenzake ila alikuwa kiongozi mzuri.
Huwa mnashangaza sana!Kujadili mziki na watoto wa juz, naonaga km najidhalilisha. Mzk una nyakati zake, Nyakati za Shaggy co za Sean. Shagy alikua anafanya Ragga muffin, huko kwenye dancehal akaja baadae baada ya soko kuchange. Ukisikiliza Genie au Peace of my heart unasikia nini kwa Shaggy. Na hata ktk game Shaggy amekaa mda mrefu sn, wkt akina Sean walikuja kwa moto wa kifuu. Jaribuni kuwafuatilia kwa undani wanamziki. Kuna kipndi alikua anashindanishwa na akina Buju Banton ktk maadhi ya reggae na Ragga mufin, baadae na sean paul kwenye Dancehal, amuoni kuwa jamaa ni kipaji?
Hii thread imewazungumzia hao wawili Shaggy na Sean Paul ili walinganishwe kiubora.Pale jamaica kuna vichwa hatari hawa wanasubiri mbaaali, kuna watu kama tarrus, Chriss martin, kabaka, kibaki, cecile, jahmain,
Huwa mnashangaza sana!
Unakiri kuwa kujadili muziki na watoto wa j
Hii thread imewazungumzia hao wawili Shaggy na Sean Paul ili walinganishwe kiubora.
Hakuna ulazima wa kuwataja hao wengine.
uzi ni kama unajidhalilisha lakini bado unajadili na kuandika comment ndeefu.
Kwanini usiache kabisa kujadili?
Hao wote wameanza muziki kipindi naufatilia, Shaggy alianza kwa kufanya Ragga Muffin but haikuwa Raga ngumu kama ile ya kina Shaba Ranks, naweza sema ni fusion ya Raga na Dancehall, wakina Sean Paul ndio wakaja na pure Dancehall, all in all Sean Paul mkali bwana tuache utani, ana hits nyingi mno za kwake + collabos tofauti na Shaggy aliyeng'ara kwa hits zinazohesabika, na hakutawala game kwa mda mrefu kama SeanKujadili mziki na watoto wa juz, naonaga km najidhalilisha. Mzk una nyakati zake, Nyakati za Shaggy co za Sean. Shagy alikua anafanya Ragga muffin, huko kwenye dancehal akaja baadae baada ya soko kuchange. Ukisikiliza Genie au Peace of my heart unasikia nini kwa Shaggy. Na hata ktk game Shaggy amekaa mda mrefu sn, wkt akina Sean walikuja kwa moto wa kifuu. Jaribuni kuwafuatilia kwa undani wanamziki. Kuna kipndi alikua anashindanishwa na akina Buju Banton ktk maadhi ya reggae na Ragga mufin, baadae na sean paul kwenye Dancehal, amuoni kuwa jamaa ni kipaji?
Nikuelishe [emoji117] NikuelimisheNimeona nikuelishe tu dogo, kwa kushindanisha hvyo huwezi kupata data sahihi kaka. Unaweza ukajifurahisha lkn usiwe uhalisia. Kila nabii ana zama zake, cku shindanisha, bob na lucky au Franco na Koffii.
Nikuelishe [emoji117] Nikuelimishe
Mimi si Dogo
Back to my qn: Wewe umesema kujadili muziki na watoto wa juzi ni kama kujidhalilisha.
Maswali :
● Umejuaje Mtoa mada ni mtoto wa juzi ?
● Kama unaona ni kujidhalilisha kwanini ukachangia hii mada?
Au unapenda sana sifa na tukujue kuwa u mkongwe ujuaye muziki sana? [emoji23]