😀Nilijua tu lazima kajibu, vitoto vya 2000 vibishi sana.sawa nimekubaliWewe spongebob bila picha unikome😒
Acha roho mbaya 😂Wewe spongebob bila picha unikome😒
Mimi kizee cha mwaka 86🤗😀Nilijua tu lazima kajibu, vitoto vya 2000 vibishi sana.sawa nimekubali
Sasa yeye ata sasampa haleti ni mdomo tu😏Acha roho mbaya 😂
Si ndiyo stage ya kwanza hiyo 😂Sasa yeye ata sasampa haleti ni mdomo tu😏
Itakua hawana kile anachokitaka 😄Si ndiyo stage ya kwanza hiyo 😂
Binti wa zamani mpe ushauri huyu mdada watu wanamtaka ye hawataki kwanini 😂
Labda sina miguu naona aibu kukubali🤣Si ndiyo stage ya kwanza hiyo 😂
Binti wa zamani mpe ushauri huyu mdada watu wanamtaka ye hawataki kwanini 😂
Hamna bhana u super woman utamponza 😂Itakua hawana kile anachokitaka 😄
Utatumia ya kwetu hebu jaribu kukubaliLabda sina miguu naona aibu kukubali🤣
Hebu mtumie kamilioni hapo uone kama hafungui PM 😂Hamna bhana u super woman utamponza 😂
Muache aendelee kusubiri muujiza kutoka kwa members wenzie🤣Hebu mtumie kamilioni hapo uone kama hafungui PM 😂
Siyo kila kitu mpaka mfundishwe!