Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Nyinyi wenye madadašTutoke kwa shemeji lakiniš
Nyinyi wenye madadašTutoke kwa shemeji lakiniš
š kweliNyinyi wenye madadaš




sahihi hata mi naona waje tuWanakaa kwako waongezee size ya ugali!
Nilimuona kule ile mitaa ya kusuguana anachangia mada balaaaKama ni recent trending basi Mtoe #Rararere hakuwepo kwa muda jamvin....
Juz tu apa ameonekana thread fulani hivi amekiwasha sana, ila ukiniambia anaeongoza kwa msimu mzima hapo ndo raraa reree anapogeuka robot
Kuna uzi niliona kumbe anaakili sana, sema tu kaamua kujieka kipwaguBwashee