๐๐๐๐๐๐๐Kama ni recent trending basi Mtoe #Rararere hakuwepo kwa muda jamvin....
Juz tu apa ameonekana thread fulani hivi amekiwasha sana, ila ukiniambia anaeongoza kwa msimu mzima hapo ndo raraa reree anapogeuka robot
Wanakaa kwako waongezee size ya ugali!Kwa maana nyingine hawa watu hawana kazi wanakaa kwe shemeji zao
UmepatiaKwa maana nyingine hawa watu hawana kazi wanakaa kwe shemeji zao
Una meneno ๐Wanakaa kwako waongezee size ya ugali!
Anaongea as if mnampigiaga simu mnamuomba mchuzi!๐Una meneno ๐
Tutoke kwa shemeji lakini๐Anaongea as if mnampigiaga simu mnamuomba mchuzi!๐
Hakuna anayemjua mtu wote tuko abroad kila mtu yuko busy bana!๐Inaonekana watu wanajuana sana humu๐
HakikaHakuna anayemjua mtu wote tuko abroad kila mtu yuko busy bana!๐