Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,625
- 3,735
Umeelewa nilichoandika lakiniUsalama sio sehemu ya jeshi, ni idara ya kiraia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewa nilichoandika lakiniUsalama sio sehemu ya jeshi, ni idara ya kiraia.
Umenifanya nicheke kwa sauti kama mazuriWana vyuo Na sehemu zao maalum... Si jeshini....
Hawa wanaonekana wadogo kutokana Na mfumo wao wa kufanya kazi nyuma ya pazia...lakini..Cdf..ili apite file yake lazima ipitie kwao... na hata rais!
Jeshi Lina nguvu ...watu Na silaha nyingi zaidi..Ila ikitokea Vita mpaka jeshi kwenda kupigana ujuwe...TI...kahusika ndio maana wapo mpaka jeshini Ila wanalipwa Na kitengo!...
Cdf...anaweza zimwa na hawa jamaa Ila yeye Hana uwezo wa kuwazima!... Na ndio Wana uwezo wa kumonitor Na kucontrol mpaka taasisi ya raisi!
Cdf..ni mkuu...wa vyombo vyote vya ulinzi Na usalama ila si kwa kitengo!
Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
Inategemea nani kaanza kuzaliwa
Usisahau jeshi nao wana military intelligence directorateJeshini kwenyewe kuna watu wa tiss, tiss ni serikali ndani ya serikali.
The one who control infomation controls everything.
Uko sahihi
Malindi auKuna mwanasiasa wa upinzani mkubwa tu anafundisha chuo cha usalama Mbweni. Usiniulize nimejuaje.
Hapo hapo kwenye maporiMalindi au
mbona mabeyo mpole sanaWatu wakisikia mkuu wa majeshi wanadhani ni Mtu mwepesi tu yani...!! Mabeyo siku ile anasema wao watamsupport Samia unadhani alisema kwa Bahati mbaya mzee... Jeshi likiamua jambo lake kwa Amri ya Mabeyo hapakaliki..
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
ReceivedHapo hapo kwenye mapori
Kama ungelikuwa 1...... wa kweli au unajua Wala usingeuliza Hilo swali mkuu...Mafunzo yao najua yanapofanyika mkuu. Najua vyema kambi zao. Nani ni walimu wao wa mafunzo wawapo kambini?
Ni ushirika haramu kati ya wanausalama wa juu na watu wenye hela zao. Wanamtandao ni moja ya deep state zilizowahi kutokea nchi hiiJe deep state ni nini?
Heh.. nilisema mimi ni TISS?Kama ungelikuwa 1...... wa kweli au unajua Wala usingeuliza Hilo swali mkuu...
Hizo fani zinaendana Ila Kuna namna tofauti ipo...
Commando Ana nguvu Ila hata yeye mpaka aingie kumaliza juwa wale jamaa michoro Na ramani...wametoa wao!
SEMA hivi mmoja anatumia nguvu Na ni mtendaji..defence..mwengine anamuwezesha hiyo wa kwanza...anatumia nguvu ya akili zaidi Na ni hajulikani...ndio maana anaonekana Yuko chini...
Jeshi letu lipo mipakani kulinda..Hawa wapo nje ya mipaka kunusa Na kuleta mrejesho kila mda!!
Walimu wa mafunzo wawapo kambini huwa si mmoja ....hata wao baadhi hawawajui!
Mafunzo ya gizani.....
Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
najua sanaUsisahau jeshi nao wana military intelligence directorate
Unajua mnashindwa kuelewa kitu kidogo Sana.basi eendeleeni kuelewa hivyo hivyo maana mnashindwa kuelewa.Usisahau jeshi nao wana military intelligence directorate
Hakuna Rank / Cheo kinaitwa Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na UsalamaMmoja anaitwa Mkurugenzi wa usalama mwingine anaitwa mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama.
Unafikiri Nani mkubwa? Uliwahi kuona Rais akimbatana DGIS kwenye hafla yeyote rasmi mfano ukaguzi wa gwaride.... Na mengine.
Bettle na Scania yote ni magari Yana kazi tofauti lakini mmoja linawwza kumbeba mwingine Ila mbebwaji hawezi kumbeba mwengine
Mkuu huijui TISS nasisitiza huijui TISS, Jeshi liko monitrd na hiyo TISS na nataka nikuambie umeona ule uapaji wa maluteni usu ile juzi? Basi mule ndani wamechomekwa watu wa TISS kibao ili kufanya kazi za TISS ndani ya JWTZ na kwa taarifa yako kuanzia ngazi ya Brigedia Jeneral mpaka General pale kuna watu wa TISS zaidi ya 6 hivyo huwezi kuamua chochote wao wasijue. TISS hufanya kazi hata nje ya mipaka ya nchi ili kujua usalama wa nchi yetu. Nikuambie zaidi ni kwamba suala la usalama ni pana sana kuliko ULINZI. ULINZI ni ile hali ya KULINDA na KUTULIZA hali pindi itokeapo shida. USALAMA ni pamoja na KUTAFUTA NA KUGUNDUA KITU CHOCHOTE KITAKACHOIPATA AU KITAKACHOTOKEA NCHINI NA KUHATARISHA USALAMA WA NCHI AMBAPO SASA NDIO HAO JWTZ HUAMBIWA IMARISHENI ULINZI SEHEMU FULANI KUTOKANA NA KITU HIKI AU KILE.( Jeshini kwenyewe kuna watu wa tiss, tiss ni serikali ndani ya serikali.
The one who control infomation controls everything. )
Ulichoandika hapo ndio UONGO..
Inatakiwa ujue TISS ni nini na JWTZ ni nini.
Jeshi lina intelijensia yake yenyewe haiingiliwi.
Unavyosema Serikali ndani ya serikali unaijua SERIKALI? mihimili yake unaijua? Usirahisishe vitu vikawa vyepesi
Hujui kitu ww nyamaza kabisa. Wewe ni moja ya watu wehu nchini hujui lolote kuhusu ishu za nchi hii.Hao aliowapenyeza kombe wengi ndio wanastaff miaka hii mitatu mbele mpaka minne.hakuna wengine Tena, nyerere ndio aliasisi utaratibu huo na Hakuna alieuenzi katika awamu zilizofuata
Sitaki kuandika sana leo, lakini mfano hai msiba wa aliyekuwa rais wetu, kwanini watu walikuwa wameka kimya lakini baada ya kauli ya CDF mbona walitangaza? Huo ni mfano hai. Sina mengi.