Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

kwamba Tiss ina wafnya kaz weng kuliko jeshi.......hilo gari nimegoma kupanda.
[emoji3][emoji3][emoji3] hujaelewa hapo... ina watumishi wengi kuliko idara nyingi tu. Sijazema ZOTE. naelewa uwingi wa TPDF na POLISI ila hao TISS wako wengi pia na hasa wengi huwajui.
 
😄😄😄
kuna kitu unamiss hapo mkuu,
hao waliotoka jeshi ndo hao tunaosema ni tiss waliokua jeshi (rejea mfano wa DG wa hsasa)
hata DG aliyopita alikua mkurugenzi NIDA huko, kwa mawazo yako utasema ametoka tu mtu NIDA akaja kuwa DG wa tiss
Kazi sana..Hans Kitine alitokea wapi
Sijawahi ona IGP au CGP akimpigia salute CDF
Du
Diwan Athumani Polisi
Modestus Kipilimba NIDA
Rashid Othma Ubalozini
Apson Mwang'onda Raia
....

Luteni General Imrani Kombe Jeshini

Umejifunza kitu
DG TISS sio lazima atoke kwenye Security Organs, anaweza kuwa mtu aliyekulia ndani ya TISS nje ya Majeshi
Hans Kitine?
 
Mkuu wa majeshi ni mtu mkubwa sana katika nchi hii, ni ukosefu wa eshima kumfananisha mkuu wa majeshi na mkurugenzi wa usalama wa taifa.yani huyu jamaa hata akiamua kufanya anachoweka basi anafanya vizuri tu pasipo kumuogopa mtu na hata kama hao usalama wa taifa wakijua, sana sana watatoa msaada kwa Rais kusepa mapema kabla ajatiwa kwenye kizuizi.

Ivi ile amri ya mwisho wa kulala saa 12 uwa awa usalama haiwahusu nini?.kama inawahusu basi jibu mtakuwa nalo wenyewe
 
iyo Amri nanii kaitoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heh.. nilisema mimi ni TISS?

Mbona mada inabadilika kila mara?

Usiku mwema
Ulisema unajua mafunzo Na wapi yanafanyika... ...

Iko pale pale...vile vile...

Huna vigezo hata vya bandia kwamba njkufikirie wewe nk TI...

By the way...Ni maongezi tu ...usijali..

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
692D294F-9809-4585-B8BB-D2A1D28E27BD.jpeg
 
Acha kulinganisha CDF na vitu vingine tusivyo vijua.
Wakuu hope mko poa

Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS)

Karibu mtujuze mnaojua
 
CDF ni habari nyingine.
Usimfananishe
 
Back
Top Bottom