Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

Kazi sana..Hans Kitine alitokea wapi

Duh
Diwan Athumani Polisi
Modestus Kipilimba NIDA
Rashid Othma Ubalozini
Apson Mwang'onda Raia
....

Luteni General Imrani Kombe Jeshini

Umejifunza kitu
DG TISS sio lazima atoke kwenye Security Organs, anaweza kuwa mtu aliyekulia ndani ya TISS nje ya Majeshi
 
Wakuu hope mko poa

Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS)

Karibu mtujuze mnaojua
Wote wana title sawa yani wakubwa wa vyombo kiprotokali hapo Seniority haifanyi kazi maana wote ni wakuu kinachoangaliwa ili kupata mkubwa ni precedence na common sense kutokana na tukio husika .Kwa kuzingatia precedence anayekua mkubwa ni aliye assume ukuu wa chombo chake kabla ya wenzake.

Ukitumia common sense utaangalia aina ya tukio ndo iterdetermine nan ni mkubwa mfano kukiwa na hafla inayohusisha military exhibition basi CDF atakuwa senior au Rais akiwa kwenye hafla ya kipolisi automatically Sirro atakua senior .Kwa kua wote ni askari inapotekea vita wanaweza tumika pia kwa mantiki hiyo wanakua chini ya CDF na hapo Mabeyo atakua senior.

Malizio: Hakuna anayewajibika kwa mkuu wa chombo kingine isipokuwa kwa Rais pekee hivyo wote wana ukuu sawa.
 
Uongo ulio wazi kabisa huu, IO wa JWTZ anakusanya taarifa wapi!! Kasome mjukumu ya TISS kwenye Sheria ya iliyounda TISS,halafu kasome majukumu ya JWTZ kikatiba Ni yapi.
Hao JWTZ waliopo TISS Sana Sana walinzi tu au wakufunzi wa masomo Fulani ya kimedani.
Jeshini kuna kitengo cha ujasusi kina fanya kazi zake hadi nje ya mipaka ya nchi hapa lazima ubishe. Jw anaenda kuwa mlinzi au mkufunzi kwani huko TISS hakuna hao watu?? Mnajifanya wajuaji huku hamjui kitu
 
CGI hawezi kusomwa kabla ya CGF
FYI
Screenshot_20210422-223749_YouTube.jpg
 
Mkuu wa majeshi ndie mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama(polisi,tiss,magereza,zimamoto,nk) kwa watu wasiojua ni kwamba jeshi ni chombo kilichojitosheleza kwa kila kitu yani idara zote za kiusalama zipo humo kuanzia polisi jeshi(Military police),zimamoto wapo humo na kitengo Chao Cha usalama ambacho hujilikana Kama (Intelligence officers) ambao hukutunawafaham Kama tiss
Kuna member mmoja nimemunukuu akisema kuwa tiss wanauwezo wa kuchunguza jeshi hapana! Hilo halipo kabisa, ni hivi endapo jeshi litapofanya ishu ambayo si salama kwa nchi au mtu kutoka jeshini afanye vitu ambavyo vinaashilia ugaidi ndani ya nchi basi tiss hufanya kazi kwa pamoja na idara ya usalama jeshini(I.O) ili kushughilikia hilo tatizo.Ndo maana hata jeshi Lina sheria zake na mahakama yake ambayo hutofautiana sheria na mahakama za kiraia
 
Mama ak ndio popoma Mbwa mweusi ww
[emoji3][emoji3][emoji3] jipige kifuani na useme mm ni POPOMA NILIYETUKUKA. ww hujui lolote na unatumia nguvu bila akili. Kwa nje unaona CDF ni mkubwa ila kimajukumu ya KITAIFA, DGIS yuko juu ya hao wote ana yy ndio anawacontrol hao kila angle zao. Top ranks za TPDF officers, POLISI, MAGEREZA, FIRE NK kuna mapandikizi karibu nusu yake kutoka TISS. Kingine leo ujue TISS ndio idara yenye WATUMISHI WENGI zaidi kuliko idara nyingi sana. TISS wengi ni wale wasioonekana kuliko wale ambao utawaona ofisini. NB TISS pekee ndio hujua RAIS analala wapi, anakula nini, ataelekea wapi nk. Tuwapongeze watumishi wa IDARA hii muhimu nchini kwetu.
 
Acha uongo wewe jamaa
 
kwamba Tiss ina wafnya kaz weng kuliko jeshi.......hilo gari nimegoma kupanda.
 
Back
Top Bottom