Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

Jeshi na TISS ni Vitu tofauti, However huko Jeshini, Polisi, Magereza etc kuna watu wa TISS, wapo hata kwenye Ofisi za ki Raia.
Wanaitwa ma Shushushu.
Tukija kwenye Concept yako ya Intelinsia ya Jeshi, hata Polisi wana Intelijensia yao.
Intelligensia ya Jeshi iko chini ya Idara Moja inaitwa Military Intelince, ama MI.
MI inahusika zaidi na Usalama wa Jeshi, Tiuna Silaha ngapi na aina gani, jeshi letu liko katika hali, je kuna Jirani ama nchi yeyote ina plan za kutuvamia na lini ?, uwezo wa adui wetu ki jeshi ukoje ?
Je, Mgogoro wa Kijeshi wa Nchi jirani unatuathiri kwa Kiasi gani etc etc
Hii ndio Military Inteligence.
Ila katika Majukumu yake , MI ,Mara nyingi hujikuta nawafanya kazi na TISS
Kitu kikiitwa mfumo obviously lazima watafanya kazi pamoja. Even ww raia utafanya nao kazi

Nikuulize swali jepesi.. Tiss akiw nje ya mipaka anafanya shughul zipi ukitofautisha na shughuli za Mi-Int?
 
Essence ya kuwa na Deffence Forces Primarily ni kulinda nchi dhidi ya adui kutoka Nje.
Na adui kutoka nje anaweza kuingia kupitia Majini, Angani ama Ardhini.
Ndio Maana ya Majeshi ya ulinzi
 
Kitu kikiitwa mfumo obviously lazima watafanya kazi pamoja. Even ww raia utafanya nao kazi

Nikuulize swali jepesi.. Tiss akiw nje ya mipaka anafanya shughul zipi ukitofautisha na shughuli za Mi-Int?
Atafanya Shughuli iliyompeleka huko nje ya Mipaka
 
Kitu kikiitwa mfumo obviously lazima watafanya kazi pamoja. Even ww raia utafanya nao kazi

Nikuulize swali jepesi.. Tiss akiw nje ya mipaka anafanya shughul zipi ukitofautisha na shughuli za Mi-Int?
Halafu sio kila aliyepo JF ni Raia
 
  • Kicheko
Reactions: BRB
Amka ndugu yangu..uliza vizuri kama hujui. Hata wakuu wa TISS wengine wametokea jeshini. Mfano ni Hans Kitine, alitolewa jeshini kwenda usalama kuwa mkuu. Wapo wengi sana. Asilimia ya usalama wengi wanachukuliwa kutoka jeshini. That's a fact. Kwasababu wanakuwa well drilled kwenye mambo ya uzalendo
😄😄😄
kuna kitu unamiss hapo mkuu,
hao waliotoka jeshi ndo hao tunaosema ni tiss waliokua jeshi (rejea mfano wa DG wa sasa)
hata DG aliyopita alikua mkurugenzi NIDA huko, kwa mawazo yako utasema ametoka tu mtu NIDA akaja kuwa DG wa tiss
 
Wakuu hope mko poa

Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS)

Karibu mtujuze mnaojua
Wewe bado mchanga sana kwenye mambo yanayohusu nchi, achana kabisa na kitu kinaitwa CDF maana bila hicho tungekuwa tunaongea kichina sasa hivi acha kabisa, maana watu walitaka kupindua meza...to take advantage.
 
Mkuu wa bandari na Mkuu wa TRA nani mkubwa???
Jeshi na TISS ni vitu viwili tofauti sasa huo mlinganisho mnautoa wapi???
 
CDF sio Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama
CDF ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Chief of Defence Forces
Na Deffence Forces ni zile Three Commandants (Kamandi) za jeshi, Airforce, Navy nchi Kavu.
Kuna Nchi nyingi tu hawana Navy, Land locked Countries ama nchi ambazo zimezungukwa na nchi nyingine na hazina Water Bodies / Bahari, Mfano Malawi etc
Kwa kwetu National Service imeongezwa kama Kamandi ya Jeshi.
Mfano ukiichukua TPS, Tanzania Prisons Services kuwa chini ya Jeshi, na Yenyewe itakuwa sehemu ya Defence Forces under CDF
Kimsingi CDF ni Mkuu wa Jeshi, kwa Tanzania ni Mkuu wa JWTZ na sio Mkuu wa Polisi, TISS,Magereza etc
Hao wana wakuu wao
Sio kweli, CDF hata kwenye utambulisho huwa anatambulishwa kama mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama. Na wote wale wa polisi, magereza, uhamiaji wanampigia salute
 
Kwa yako na wengine wasiowaelewa na kiprotocal CDF anaonekana yupo juu ila kimajukumu TISS ndo yupo above all na do moyo na injini dola. Mfumo wa huu wa utawala ali uasisi Nyerere na ndo maana nakwambia unavyosikia nchi nyingine jeshi linapindua nchi,kwa Tanzania haiwezekani maaana hakuna kiongozi wa jeshi anaweza kuorganize hilo jambo akafanikiwa,mashushu wamejaa kila kona na jeshini ndo wamejaa balaa.
Mnawaza kupindua tu.. wakati mada yenyewe haiongelei hata mambo ya kupindua. Sijui mna matatizo gani nyie
 
Sio kweli, CDF hata kwenye utambulisho huwa anatambulishwa kama mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama. Na wote wale wa polisi, magereza, uhamiaji wanampigia salute
CDF = CHIEF OF DEFENCE FORCES

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi

Amiri Jeshi Mkuu ndio MKUU WA MAJESHI WA ULINZI NA USALAMA
 
Back
Top Bottom