[emoji3][emoji3][emoji3] hujaelewa hapo... ina watumishi wengi kuliko idara nyingi tu. Sijazema ZOTE. naelewa uwingi wa TPDF na POLISI ila hao TISS wako wengi pia na hasa wengi huwajui.kwamba Tiss ina wafnya kaz weng kuliko jeshi.......hilo gari nimegoma kupanda.
🤣🤣🤣Na mambo mengine mengine😆
wako kama ugonjwa wanaenea
Kazi sana..Hans Kitine alitokea wapi😄😄😄
kuna kitu unamiss hapo mkuu,
hao waliotoka jeshi ndo hao tunaosema ni tiss waliokua jeshi (rejea mfano wa DG wa hsasa)
hata DG aliyopita alikua mkurugenzi NIDA huko, kwa mawazo yako utasema ametoka tu mtu NIDA akaja kuwa DG wa tiss
DuSijawahi ona IGP au CGP akimpigia salute CDF
Hans Kitine?Diwan Athumani Polisi
Modestus Kipilimba NIDA
Rashid Othma Ubalozini
Apson Mwang'onda Raia
....
Luteni General Imrani Kombe Jeshini
Umejifunza kitu
DG TISS sio lazima atoke kwenye Security Organs, anaweza kuwa mtu aliyekulia ndani ya TISS nje ya Majeshi
kwani polisi wote nawajua?[emoji3][emoji3][emoji3] hujaelewa hapo... ina watumishi wengi kuliko idara nyingi tu. Sijazema ZOTE. naelewa uwingi wa TPDF na POLISI ila hao TISS wako wengi pia na hasa wengi huwajui.
iyo Amri nanii kaitoa?Mkuu wa majeshi ni mtu mkubwa sana katika nchi hii, ni ukosefu wa eshima kumfananisha mkuu wa majeshi na mkurugenzi wa usalama wa taifa.yani huyu jamaa hata akiamua kufanya anachoweka basi anafanya vizuri tu pasipo kumuogopa mtu na hata kama hao usalama wa taifa wakijua, sana sana watatoa msaada kwa Rais kusepa mapema kabla ajatiwa kwenye kizuizi.
Ivi ile amri ya mwisho wa kulala saa 12 uwa awa usalama haiwahusu nini?.kama inawahusu basi jibu mtakuwa nalo wenyewe
Ulisema unajua mafunzo Na wapi yanafanyika... ...Heh.. nilisema mimi ni TISS?
Mbona mada inabadilika kila mara?
Usiku mwema
80% ya polisi wanajulikana 20% tu ndio ambao wanaweza wasijulikane lkn bado utawaona kwenye upelelezi na hata kwenye doria za hapa na pale.
Kuna mtu alisema CDF Ni TISS, swali linakuja.kwenye ujeshi anaripoti kwa rais, kwenye TISS anaripoti kwa Nani?
kupitia cheo chake cha mkuu wa majeshi anamaliza kila kitu akikutana na mkubwa maana taarifa zake zinakua na uzito kidogoKuna mtu alisema CDF Ni TISS, swali linakuja.kwenye ujeshi anaripoti kwa rais, kwenye TISS anaripoti kwa Nani?
Majeshi anayoongoza CDF kiutendaji Ni yote au JESHI LA AKIBA NA JWTZ pekee?kupitia cheo chake cha mkuu wa majeshi anamaliza kila kitu akikutana na mkubwa maana taarifa zake zinakua na uzito kidogo
Bangi hizi jamani80% ya polisi wanajulikana 20% tu ndio ambao wanaweza wasijulikane lkn bado utawaona kwenye upelelezi na hata kwenye doria za hapa na pale.
TISS 40% wanajulikana na 60% hutowajua kamwe ni mpaka uone TEUZI tu.
Chief ungetuwekea na kapicha ingependezaNafikiri jana umeona majibu ya swali hili
Wakuu hope mko poa
Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS)
Karibu mtujuze mnaojua
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
CDF ni habari nyingine.Wakuu hope mko poa
Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS)
Karibu mtujuze mnaojua
Mimi nawafahama pia wanajeshi waliopandikizwa TISSJeshini kwenyewe kuna watu wa tiss, tiss ni serikali ndani ya serikali.
The one who control infomation controls everything.