Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

Wakuu hope mko poa

Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS)

Karibu mtujuze mnaojua
Kila mmoja na nafasi yake, na majukumu yake kwa taifa.
 
Genius
 
Jeshini kwenyewe kuna watu wa tiss, tiss ni serikali ndani ya serikali.

The one who control infomation controls everything.
Hata wafungwa wengine ni Papawizo (Njiwa)
 
Kwa hiyo hao wanaopinduaga hua hamna watu wa usalama
wewe undani hizo nchi unazosikia jeshi limepindia,watu wa usalama wanakua hawajui?na kama walikua wanajua unadhani wanakua wameshindwa kuzuia?rejea mapinduzi yaliotaka kufanywa kipindi cha nyerere.ni nani walizuia mapinduzi hayo yasifanikiwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…