Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

kama kuna usalama wanauza habari kwa kigogo itakuwa kwa jeshi? your contradicting yourself.
 
TISS ni invisible yupo kila mahali,
Hawa wote hutegemeana ili nchi iwe sawa
 
Usalama wa Taifa ni mdogo,lakini ndie mwenye intelligence/taarifa nyingi za kijasusi,na mbinu nyingi za kupata hizo taarifa,hata akitaka ajue CDF,kama ana kibamia,au ni homosexual,au michepuko yote ya CDF,na viongozi wakuu wa nchi,anaweza kujua.
Yaani ndio kazi za usalama hizo kuchungulia mpaka kwenye bukta za mabeo ama kweli maajabu hayaishi ulimwenguni
 
Diwani athumani msuya mpaka sasa hivi ni ndani ya jeshi la polis ana cheo cha CP wakati siro ni inspector generali kwa hiyo diwani bado mdogo kwa siro na wakati siro anampigia salute mabeyo kwa hiyo IDARA anayoongoza diwani ni ndogo kwa jeshi la wananchi wa tanzania.huyu anaongoza idara huyu anaongoza jeshi sasa unafikiri nani mkubwa
 
Jeshini kwenyewe kuna watu wa tiss, tiss ni serikali ndani ya serikali.

The one who control infomation controls everything.
TISS wenyewe si wanapitia jeshini? We just know jeshi likiamua jambo TISS ni taasisi tu.
 
Nyuzi kama hizi huwa sitii neno, maana sidhani kama kuna haja ya kulinganisha Semitrailer na double cabin
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Hebu waulize hao usalama mafunzo yao wanayapataga wapi kwanza maana kuna vitu vinafurahisha kweli... hao usalama kwa silaha zipi?[emoji23][emoji23] kwa jeshi gani? Wengine wameingia tu kwa style zetu zile
 
Khaaa... mkuu[emoji23][emoji23]
Yes.. wapo ndani ya jeshi lakini hii reasoning yako kiboko. Unapaswa ujue tuu jeshi ni kubwa zaidi. Na mpango wa mapinduzi unaanzaje kwa hao wajeshi wa chini.. huo unakua ni mpango wa wakubwa.
 
Hapa mtabishana mpaka kesho, ni lazima ujue kazi za hizo taasisi mbili yaani jeshi na idara ya usalama wa taifa. Kazi za jeshi zinajulikana na wengi, za usalama je? Ukisoma sheria iliyounda idara ya usalama wa taifa, Tanzania intelligence &, security services act ya 1996 section ya 1 mpaka ya 5 inaeleza majukumu ya idara. Na moja ni kutafuta, kuchambua na kutunza taarifa zote muhimu popote zilipo.

Hii ina maana kwamba TISS wanafuta information popote, iwe ni bungeni, kijiweni jeshini nk. Kazi hii inaweza kua kupitia 'deep cover' au 'undercover informers' kwahyo usishangae kuona wamepenyeza watu jeshini au sehem yoyote ile. Kwa sura ya nje ni kweli CDF ni mkubwa sana kuliko viongozi wengine wa ulinzi na usalama, hata kiprotocal pia. Ila ukiingia kiundani kdg utakuta hata uteuzi wa CDF ni baada ya file lake kupita Tiss na wao kutoa mapendekezo msidhani jeshi halina control, kuna watu wanaliangalia kwa karibu mno ili kulinda usalama wa nchi.

Tiss wanadominate kwenye kila kitu, iwe uchumi, siasa, utawala nk. Wao wanatakiwa kutambua na kuzuia athari yoyote inayoweza kuikuta nchi. Tiss wakifeli hapo na taifa linakua dhaifu.

Ukweli ni kwamba ile taasisi ni 'dubwana' kubwa sana lililojificha chini ya neno 'taasisi' lakini kazi zake zipo hata kwenye vijiwe vya bodaboda au kanisani. Wakati wa kumuapisha Diwani Athumani, kama DGIS mpya, hayati Magufuli aliongea statement tata kwa CDF kua ''kuna watu pale jeshini anawaona wadogo kicheo ila wanaweza kumzidi kimadaraka", na akamaliza kwa kusema "that's how government work"
 
Huijui tiss wewe,
ngoja nikupe mfano mdogo tu,
diwani athuman, alikua jeshi la polisi kwa miaka mingapi akitumikia vyeo mbali mbali, ghafla akateuliwa kuwa DG..
ulikua unajua kama alikua tiss??
Ww naona nikuache tu.. kama ulivyo niepushe mengi
 
Kwani Mkuu wa Majeshi na Waziri wa Ulinzi nani mkubwa?
Seniority hadi IGP ni mkubwa kwa DG wa TISS lakini je kiuhalisia iko ivo? Nani ana clearance na Rais 24/7 nani ana taarifa nyingi zaidi?
Unajua kimsingi waziri waulinzi anasimamia sera na kupeleka budget za jeshi bungeni ila hana say yyte ya ki amri ya kijeshi kwa CDF na CDF ndo mtendaji mkuu wa jeshi...CDF anamsafara na vingo'ra na ulinzi wakati huo waziri hatembei na msafara wala ulinzi hyo tu ni picha inaonesha waziri wa ulinzi ni ceremonial leader tu ila CDF ni boss wa jeshi
 
Ww naona nikuache tu.. kama ulivyo niepushe mengi
[emoji23][emoji23][emoji23] yeye anadhan vishoka hawajulikan sijui? Yeye hajui anfikiri basi na wengine hawajui... mbona hata mama ntilie wapo kinachomshangaza ni nn. Tulale mwaya
 
Tupe mfano wa nchi moja ambayo ma generali wa majeshi walipanga mapinduz na kuamrisha vijana afu idara za usalama zikafanikisha kufanya hivo....hahah stop that nonsense, TISS wanauwezo wakumshambulia Nani kwa silaha kutoka wapi na wapo wangapi huko jeshini? Nchi yyte ile jeshi ndio msingi wa ulinzi na ndio final say hamna idara inaeweza kupambana na jeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…