Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

Sasa CDF apange mapinduzi yeye kilaza au ? Unafikiri ni kwa nini Nigeria jeshi lao limefanikiwa kufanya mapinduzi mara sita ila Tanzania jeshi halijawahi kufanikiwa kufanya mapinduzi?

Mnasahau kuwa ranking miaka ya nyuma kidogo Tanzania tulikuwa juu sana kwenye ujasusi na pia jeshi licha ya kuwa liko nyuma kizana lakini ikafikia mwanamfalme mmoja akalisifia sana JWTZ ?
Hajui kuwa Jeshi la Ulinzi likiwa na nguvu kubwa, kwa katiba yetu Ni rahisi Sana wao kupindua nchi, ndio maana intelligence duties wakapewa idara!! Nguvu yote inayotakiwa kuwepo jeshini ikaenda kwenye idara.hatambui Hilo
 
Vyombo vyote vinategemeana, ndio maana hata hilo Jeshi la Ulinzi bila intelijensia imara haliwezi kuonekana Imara.
Jeshi Lina kitengo chake cha inteligensia. Kuna watu wanadhani mashushushu ndio wanatawala nchi. Jeshi likiamua kufanya yao hamna mtu ataleta fyoko.
 
Kabla halijaamua hao wafanya maamuzi wanakuwa tayari riported na usalama.
Information is everything you need to make perfect strikes, tiss wanazo Taarifa mpaka za jeshi
Wewe unaongelea Tanzania tu. Mimi naongelea dunia nzima. Hata hapa wakiamua lao TISS watafanya nini kwa mfano?
 
Jeshi Lina kitengo chake cha inteligensia. Kuna watu wanadhani mashushushu ndio wanatawala nchi. Jeshi likiamua kufanya yao hamna mtu ataleta fyoko.
Halina mfumo wa intelligence ya Raia, ina intelligence ya jeshini humo humo, taarifa za nchi unazipata kwa raia na viongozi wao. Jeshini huo mfumo wa upatikanaji wa hizo taarifa hawana.wanapelelezana wao kwa wao, ndio maana wana polisi wao (MP) utawafananisha na polisi wa Raia kimamlaka?
 
Wakiamua kwa mfano hao TISS watafanya nini? Unajua system ya jeshi wale Wakuu wakishaamua kufanya yao na wakatoa order nini kinaendelea? Halaf wewe unamtazamo finyu wa Tz tu. Mi naangalia might ya jeshi duniani kote. Nchi ngapi jeshi linachukua nchi,na hao usalama huwa wanafanya nini labda?
 
Mifumo ya kiulinzi na kiusalama haifanani Mkuu, Kila Taifa lina mfumo wake ndio maana hapa TZ nguvu ya intelijensia haipo jeshini, na hauwezi kuwa Jeshi imara bila intelijensia imara.
 
Unachanganya mambo.. nadhani wewe ni wale wanaamini usalama wa taifa wana nguvu kuliko chochote. Nikuulize, usalama wana vifaru vingapi? Wana ndege ngapi za kivita, wana mizinga mingapi? Wana bunduki ngapi? Ikatokea conflict kati yao nani atakalishwa. Tanzania mifumo yote imeiga. Hakuna jipya chini ya jua kiasi kwamba Tanzania waje na jipya lao ambalo dunia nzima hakuna
 
Wana Taarifa zote mpaka mikakati ya jeshi iliyofanyika, inayofanyika na itakayofanyika.
 
Jambo la msingi hii nchi ni ya amani na hakuna haja ya mapinduzi. Kwani ni wapi duniani ambako serikali haijaweka mashushushu jeshini. Lakin ikifikia jeshi wanataka kufanya yao, usalama huwa wanafanya nini? Mtawala wa dunia hii ni jeshi
 
Jambo la msingi hii nchi ni ya amani na hakuna haja ya mapinduzi. Kwani ni wapi duniani ambako serikali haijaweka mashushushu jeshini. Lakin ikifikia jeshi wanataka kufanya yao usalama huwa wanafanya nini? Mtawala wa dunia hii ni jeshi
Kwani hapa Tanzania Taasisi gani ya kiusalama au jeshi gani ambalo halina intelijensia yake?
 
We endelea kudanganywa kuwa usalama wana nguvu kuliko jeshi..kitu ambacho hujui usalama wa taifa wengi wanachukuliwa kutoka jeshini. Maana yake wengi ni wanajeshi. Hata walinzi wa Rais wengi ni wanajeshi au wametokea jeshini kwenda usalama. Mpaka hapo kama haujaelewa nguvu ya jeshi hakuna haja ya kupoteza muda na wewe
 
Back
Top Bottom