Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,558
Hajui kuwa Jeshi la Ulinzi likiwa na nguvu kubwa, kwa katiba yetu Ni rahisi Sana wao kupindua nchi, ndio maana intelligence duties wakapewa idara!! Nguvu yote inayotakiwa kuwepo jeshini ikaenda kwenye idara.hatambui HiloSasa CDF apange mapinduzi yeye kilaza au ? Unafikiri ni kwa nini Nigeria jeshi lao limefanikiwa kufanya mapinduzi mara sita ila Tanzania jeshi halijawahi kufanikiwa kufanya mapinduzi?
Mnasahau kuwa ranking miaka ya nyuma kidogo Tanzania tulikuwa juu sana kwenye ujasusi na pia jeshi licha ya kuwa liko nyuma kizana lakini ikafikia mwanamfalme mmoja akalisifia sana JWTZ ?