Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

Jf utani umezidi ndo tumefikia hii kweli?

Yani hawa hawa wanaovaa earphone kama ma dj ndo mnawafananisha na comando?
 
Huo tu ni mgawanyo wa kazi ila ukijibu swali la mtoa maada kwamba who is the champ! Kiuhalisia hakuna Kama jeshi Yani hata Kama TISS kazi wanaweza mpeleleza CDF au hata waziri mkuu hata raisi mwenyew hio ni majukum yao kisheria...ila mwisho wa siku jeshi kimsingi ndio kada ya mwisho au kubwa kiulinzi na usalama kwene nchi yoyote ile.. jeshi linadhaman kubwa kuliko TISS...ndo maan ikitokea state of emergency jeshi ndo Lina shika nchi,jeshi ndo lenye uwezo wakufanya mapinduzi na TISS wala taasisi yyte isiwe na cha kufanya
 
Ha ha daah, ngoma bado mbichi, watanzania bado hawajiewi...itachukua miaka mingi sana
 
Hebu waulize hao usalama mafunzo yao wanayapataga wapi kwanza maana kuna vitu vinafurahisha kweli... hao usalama kwa silaha zipi?[emoji23][emoji23] kwa jeshi gani? Wengine wameingia tu kwa style zetu zile
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kakojoe ulale mzee!
 

unafikiri kupindua nchi ni ishara ya uimara wa jeshi!!!
wacha nikupe shule fupi.


jeshi kupindua nchi na kutawala ni sawa na mtoto wa kwanza wa kiume kikiuka mwiko na kumlala mama yake mzazi,ndio sababu serikali hiyo haiwezi kutambulika na taasisi za kimataifa.

nchi yoyote ambayo ina mifumo imara ya kiusalama kama tanzania nk,haiwezekani jeshi kupindua nchi abadani,mfano wewe hujui kama inawezekana cdf,igp,na css wana kazi nyuma yao zinazowalazimisha kuwa watiifu kwa serikali,
nchi za kipuuzi puuzi ndio mapinduzi hutokea.

jeshi kuwa tiifu kwa serikali ni sifa njema kwa majeshi mengine ulimwenguni,na pia ni sababu ya kuheshimika zaidi.

iishie tu wewe kutaja silaha,ila swala la kuzitumia ni pana sana.ndio sababu kuna mwiko mwanajeshi anapoapa anasema"sitamgeuzia mtutu raia ninayetakiwa kumlinda"ikitokea hilo maana yake ni uasi tayari.

MWISHO:ili uelewe idara za kijasusi (usiwaze zile suti za walinzi)zinafanyaje kazi,kasome mapinduzi ya nkurunzinza 2014 yalivyo fail,au mapinduzi ya mwalimu nyerere na akina hanspop.yaani wakati unawaza jeshi limpindue rais na serikali yake,kuna wanajeshi wapo tayari wanakuongoza na kukupa kampani ili ukakamatwe.
 
Uturuki kuna wanajeshi zaidi ya 10,000 walikamatwa na wengi maelfu wako jera kwa kushiriki jaribio la mapinduzi lililofeli mwaka 2016. Idara ya usalama ilizuia
 
Umeelezea vizuri sana.kwa Elimu inatosha
 
Burundi
 
Tanzania enzi ya nyerere
 
Cdf ni kila kitu..DGiS ndio maana Rais ana uwezo wa kumtumbua hata police rais anatengua uteuzi bila shida

Ila Rais hana uwezo wa kutengua majukumu ya CDF kiholela..ndio maana JPM alisema I wish I could be IGP
 
Unafahamu chochote kuhusu mapinduzi yaliyojaribiwa mwaka 1982 ? Sasa kama haujui lile jaribio walihusika zaidi ya maafisa 15 wa JWTZ

Nenda library ukajifunze waliishia wapi

 
Wel said
 
Bado wengi humu hawana maana ya usalama wa taifa

Bado wengi humu hamjui Serikali tokea JK Nyerere waliweka mifumo gani kuidhibiti JWTZ

Khaaa... mkuu[emoji23][emoji23]
Yes.. wapo ndani ya jeshi lakini hii reasoning yako kiboko. Unapaswa ujue tuu jeshi ni kubwa zaidi. Na mpango wa mapinduzi unaanzaje kwa hao wajeshi wa chini.. huo unakua ni mpango wa wakubwa.
 
Unafahamu chochote kuhusu mapinduzi yaliyojaribiwa mwaka 1982 ? Sasa kama haujui lile jaribio walihusika zaidi ya maafisa 15 wa JWTZ

Nenda library ukajifunze waliishia wapi
Maafisa 15 akiwepo Nani mkuu wa majeshi(CDF) na mnadhimu wa jeshi..leta mfano ambao mkuu wa jeshi alijarbu au alitoa amri na haikutekelezwa sio maafisa ambao hawakupata uungwaji mkono wa kiongozi mkuu wa jeshi
 
Maafisa 15 akiwepo Nani mkuu wa majeshi(CDF) na mnadhimu wa jeshi..leta mfano ambao mkuu wa jeshi alijarbu au alitoa amri na haikutekelezwa sio maafisa ambao hawakupata uungwaji mkono wa kiongozi mkuu wa jeshi

Sasa CDF apange mapinduzi yeye kilaza au ? Unafikiri ni kwa nini Nigeria jeshi lao limefanikiwa kufanya mapinduzi mara sita ila Tanzania jeshi halijawahi kufanikiwa kufanya mapinduzi?

Mnasahau kuwa ranking miaka ya nyuma kidogo Tanzania tulikuwa juu sana kwenye ujasusi na pia jeshi licha ya kuwa liko nyuma kizana lakini ikafikia mwanamfalme mmoja akalisifia sana JWTZ ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…