Nani mkweli kati ya Dkt. Mollel na Dkt. Slaa juu ya Lissu kupigwa risasi. Kwanini CHADEMA wanakuwa kimya? Polisi nao mbona hawachukui hatua?

Hoja hujibiwa kwa hoja. Jibu hoja zao kwa hoja.
Baada ya kukaa muda mrefu na kutunga sinema hii yenye kufurahisha ndiyo wanataka wajibiwe?Walipewa maswali hawakuyajibu kuhusu utata uliotokea eneo la viongozi wa Bunge.CCTV kamera zililiwa na mbu?Askari wa serikali waliokuwa zamu ya lindo hawajawahi kuonekana?Majirani walienda shambani wote?Hata jalada la uchunguzi liliungua wakati wa uchunguzi wa awali?Acheni uhuniuhuni.Dunia ya teknolojia unakuja na kihadithi cha kijinga!
 
Private crime ni kama vile kumchinja mtoto wako na kumfanya kitoweo. Si ndio wakili?
Kuua ni kosa la jinai, regardless umemuua nani, kitendo cha mauaji kikisha fanyika ni public crime, hatua zinachukuliwa bila yoyote kuhitajika kuripoti, ila kutishiwa maisha ni private crime lazima ukaripoti polisi ndipo hatua zichukuliwe!.
P
 

Yaani chama kinachohubiri utawala wa sheria huku kimeficha suluhu ni upanga.​


Ok twendeni tutafika

🚶🚶

[/HEADING]
[HEADING=3]mkalamo

JF-Expert Member​

Mlinzi wa Dk Slaa,Kangezi,muda huu yupo makao makuu ya CHADEMA,akiwa na hali mbaya baada ya kushambuliwa na kuanzia asubuhi kwa tuhuma za kutaka kumuwekea sumu bosi wake.

Kangezi alianza kupigwa kuanzia saa tatu asubuhi baada ya kuchukuliwa na walinzi wa Chama hicho na kupekuliwa nyumbani kwake kwa ajili ya kutafuta kitu kitakachomuhusisha na Nape,Mwigulu, Kinana na Mzee Mangula

Ikumbukwe Kangenzi licha ya kuwa msaidizi wa Karibu wa Dk. Slaa ndiye alikuwa akilipwa fedha kidogo za mshahara kiasi kisichozidi sh. 400000 kwa mwezi.

Update:
Watawala wanahaha usiku huu kupotosha jambo hili baada ya siri za mipango yao kufichuka. Taarifa sahihi zinazohusu suala hili zitatolewa na chama katika hatua za baadae.

Makene

Thanks
Report

[IMG alt="EL ELYON"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/117/117450.jpg?1643920557[/IMG]

EL ELYON

JF-Expert Member​

Anataka kumuua Dr.? Kama n kweli na ikithibitika achukuliwe hatua zaidi.

Thanks
Report

M

mgeni wenu

JF-Expert Member​

Nyongeza ya mshahara alikuwa anapewa na ccm, ametaja mipango yote ilivyoratibiwa vema

Thanks
Report
Reactions:Kongi

[IMG alt="baharia Ar"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/186/186287.jpg?1464762149[/IMG]

baharia Ar

JF-Expert Member​

Hujasomeka poa Tangu asubihi anapigwagwa tu! Mh! Tuliaga Kidogo bwana mwe!

Thanks
Report
Reactions:rpg, genekai and Tabby

[IMG alt="Tume ya Katiba"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/79/79241.jpg?1509448414[/IMG]

Tume ya Katiba

JF-Expert Member​

Huu ni uonevu wa hali ya juu kama kuna ukweli, kwa nini asipelekwe kwenye vyombo husika?

Thanks
Report
Reactions:ZeMarcopolo

[IMG alt="makenze"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/254/254894.jpg?1587410469[/IMG]

makenze

JF-Expert Member​

Oooh Myy God SISIEMU KAZINI

Thanks
Report
Reactions:BAK

T

TWIKOMIGE

Member​

nipita tu

Thanks
Report

[IMG alt="FaizaFoxy"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/43/43551.jpg?1421482051[/IMG]

FaizaFoxy

JF-Expert Member​

Itakuwa kafumaniwa tu kwa Josefina.

Semeni kweli.

Thanks
Report
Reactions:uaminifukazi, TuntemekeSanga, Ngarnaand 2 others

T

true

JF-Expert Member​

Huu ni uonevu wa hali ya juu.
Kuliko huu!!?

Attachments​


  • 1425751112912.jpg
    57.4 KB · Views: 3,228
Thanks
Report
Reactions:Kongi, Tabby, Jestkilla and 1 other person

[IMG alt="Sangarara"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/55/55767.jpg?1375179724[/IMG]

Sangarara

JF-Expert Member​

Laki 4 kwa mlinzi sio haba.
Kwani polisi wanalipwa shilingi ngapi?

Thanks
Report
Reactions:Kongi, Mtende, Fourier and 1 other person

[IMG alt="Leak"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/71/71917.jpg?1618345855[/IMG]

Leak

JF-Expert Member​

Hakika chadema ni chama cha watesaji kabisa na ukute wana hisi tuu! Hivi Dr Slaa wamuwekee sumu kwa lipi? huku ni kujipa promo tuu!

Hii imetengenezwa kumpa kiki Slaa aonekane ni tishio..huyu mlinzi ana onewa bure anatakiwa akawafungulie mashitaka hao! Huu ni sawa na huaji kabisa!

Thanks
Report

[IMG alt="MFUKUZI"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/38/38274.jpg?1432675949[/IMG]

MFUKUZI

JF-Expert Member​

Ikumbukwe Kangenzi licha ya kuwa msaidizi wa Karibu wa Dk Slaa ndiye alikuwa akilipwa fedha kidogo za mshahara kiasi kisichozidi sh. 400000 kwa mwezi
Kwanza alitakiwa apigwe kiberiti!!.. Tatizo langu ni kwenye huo mshahara.. unataka kutuambia 400,000/- ni mshahara mdogo kwa sekta yake ya Ulinzi??

Hebu uliza walinzi hususan Polisi ambao ndiyo wanawasaidia ccm kima chao cha chini ni bei gani!!??

Pamoja na yote.. mtu kama huyo hata akilipwa mshahara milioni mbili kama anaroho chafu ya mauaji ataua tu!!..

Kwa hiyo mshahara hapo usitumike kama ndiyo source ya yeye kutaka kumuua DR genuine.. Slaa!!

Thanks
Report
Reactions:King Mutesa, Mzizi wa Mbuyu and chikutentema

[IMG alt="LESIRIAMU"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/9/9296.jpg?1594058295[/IMG]

LESIRIAMU

JF-Expert Member​

nyie ccm mnawipa shs ngapi mapolisi wenu? hadi wanakuwa mafisadi wa kuwanyanganya watu mali na uhai wao??

Thanks
Report

M

Mathias Lyamunda

JF-Expert Member​

Yani CCM mmefikia hatua hiyo ya kutaka kutwaa uhai wa Dr. Slaa, kwasababu amepata kibali kwa watanzania. Mshindwe na mlegee.

Thanks
Report

S

Salary Slip

JF-Expert Member​

EL nawe jiandae.

Thanks
Report

[IMG alt="G Sam"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/137/137610.jpg?1499531462[/IMG]

G Sam

JF-Expert Member​

Itakuwa kafumaniwa tu kwa Josefina.

Semeni kweli.
Wewe ni mwehu!!

Thanks
Report

[IMG alt="CHAMVIGA"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/131/131083.jpg?1366962951[/IMG]

CHAMVIGA

JF-Expert Member​

Atakuwa amepigwa na Godless Lema. Huyu jamaa namjua ni mtu mwema nilimuona daresalaam pale mlimani City ni mtu mzuri sana.

Kwakweli chadema ni wauaji wakubwa hawa.

Thanks
Report
Reactions:faby, FaizaFoxy, uaminifukazi and 1 other person

[IMG alt="FaizaFoxy"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/43/43551.jpg?1421482051[/IMG]

FaizaFoxy

JF-Expert Member​

Wewe ni mwehu!!
Utakuja tena kuhakikisha.

Thanks
Report
Reactions:Ngarna

[IMG alt="G Sam"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/137/137610.jpg?1499531462[/IMG]

G Sam

JF-Expert Member​

Utakuja tena kuhakikisha.
Nipo humu bibie!!
Punguza ukanjanja basi!!

Thanks
Report

[IMG alt="FaizaFoxy"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/43/43551.jpg?1421482051[/IMG]

FaizaFoxy

JF-Expert Member​

Yani CCM mmefikia hatua hiyo ya kutaka kutwaa uhai wa Dr. Slaa, kwasababu amepata kibali kwa watanzania. Mshindwe na mlegee.
Kwa lipi zaidi? huyo itakuwa kuna lake na Josefina, babu na kalinzi kashabab. Utanambia.

Hapo sasa!

Thanks
Report
Reactions:Ruttashobolwa and Ngarna
 
Yaani Mollel na slaa ni SAwa na ndugu zangu mke wangu akiwanunulia pombe wanampa siri zangu Ili waendelee kupewa pombe. Ina maana Chadema wapo juu ya sheria, awataki Interpol waje kuchunguza, waling'oa cctv,
 
Hizo siasa tu hao wapiga mwenye dhamana ya usalama wa kila mtu nchini ni serkali ya JMT na tukio lile ni uhalifu police wanawajibu wa kuchukua hatua straight bila visingizio
 
Kuua ni kosa la jinai, regardless umemuua nani, kitendo cha mauaji kikisha fanyika ni public crime, hatua zinachukuliwa bila yoyote kuhitajika kuripoti, ila kutishiwa maisha ni private crime lazima ukaripoti polisi ndipo hatua zichukuliwe!.
P
Pasco mshauri mama ampe teuzi mzee wa watu Ili asiabike mjini yupo frustrated,yote hayo ni sababu ya njaa.
 
Tufafanulie
Itakua ulikua unachunga ng'ombe ucku kucha hata akili haijakukaa sawa, unataka ufafanuz upi wakati kweny content yake ame specify vzr? Kaeleza Public crimes and its definition, Private crimes and its definition!!
 
Itakua ulikua unachunga ng'ombe ucku kucha hata akili haijakukaa sawa, unataka ufafanuz upi wakati kweny content yake ame specify vzr? Kaeleza Public crimes and its definition, Private crimes and its definition!!
Madhara ya kufeli vidato
 
yoga alishaandika jinsi mpango wa kumpiga risasi Lisu ulivyoaandaliwa, ulivyotekelezwa na waliohusika, hayo mengi ya hilo zee ni utaahira wake wa siku zote alionao
 
Dereva wa Lissu Kwann amefichwa mpaka Leo? Na usishangae tukaambiwa alishakufa. Tumia akili kutafakari. CCTV Camera ilichukuliwa na polisi na walitoa taarifa kwamba ni sehemu ya ushahidi. Sasa wahusika wote wamekimbia nchi, polisi wafanye nn?
Hebu lete na ile speech ya Magufuli ikulu Dar tumsikie alisema nini siku chache kabla ya Lisu kupigwa risasi.
 
Mkuu PASKALI kwa hizi point 2 hapa chini itoshe kusema kwamba wewe ni KILAZA.

 
Huyo jamaa nilidhani ana akili kumbe ni kilaza kiasi hiki.

Tanzania kama nchi bado ina safari ndefu sana, na mtu kama huyu ndio anasaka teuzi za uD.C na uD.E.D akaongoze wilaya/halmashauri.
Private crime ni kama vile kumchinja mtoto wako na kumfanya kitoweo. Si ndio wakili?
 
Tulilisema kitambo hili R.i.p chacha wangwe!
 
Policcm hawa hawa hawajui PGO ndio wachunguze hii failed assassination attempted poorly organized by wasiojulikana Wa Jiwe??? Hii crime hata leo kuwapa FBI kama vile JK aliamulu kwa wale wahusika wa tindikali Zenje...nina 100% level of confidence Jiwe alishindwa kumuua mh Lissu
 
Dokta Slaa alikuwa kiongozi mwandamizi ndani ya cicle za Chadema kwa hiyo alipata nafasi ya kuyajua mengi sana ndani ya utumishi wake kule.

Kama ni uongo Chadema wangemshitaki kipindi hiki ili asiendelee kuwaharibia sifa na jina.

Ila kiuhalisia Chadema wanajua yule mzee ni mtu makini,anayetunza evidence za matukio.
Hivyo huenda wakaumbuka zaidi huko mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…