Yaani chama kinachohubiri utawala wa sheria huku kimeficha suluhu ni upanga.
Ok twendeni tutafika
🚶🚶
JF-Expert Member
Mlinzi wa Dk Slaa,Kangezi,muda huu yupo makao makuu ya CHADEMA,akiwa na hali mbaya baada ya kushambuliwa na kuanzia asubuhi kwa tuhuma za kutaka kumuwekea sumu bosi wake.
Kangezi alianza kupigwa kuanzia saa tatu asubuhi baada ya kuchukuliwa na walinzi wa Chama hicho na kupekuliwa nyumbani kwake kwa ajili ya kutafuta kitu kitakachomuhusisha na Nape,Mwigulu, Kinana na Mzee Mangula
Ikumbukwe Kangenzi licha ya kuwa msaidizi wa Karibu wa Dk. Slaa ndiye alikuwa akilipwa fedha kidogo za mshahara kiasi kisichozidi sh. 400000 kwa mwezi.
Update:
Watawala wanahaha usiku huu kupotosha jambo hili baada ya siri za mipango yao kufichuka. Taarifa sahihi zinazohusu suala hili zitatolewa na chama katika hatua za baadae.
Makene
Thanks
Report
[IMG alt="EL ELYON"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/117/117450.jpg?1643920557[/IMG]
JF-Expert Member
Anataka kumuua Dr.? Kama n kweli na ikithibitika achukuliwe hatua zaidi.
Thanks
Report
M
JF-Expert Member
Nyongeza ya mshahara alikuwa anapewa na ccm, ametaja mipango yote ilivyoratibiwa vema
Thanks
Report
Reactions:
Kongi
[IMG alt="baharia Ar"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/186/186287.jpg?1464762149[/IMG]
JF-Expert Member
Hujasomeka poa Tangu asubihi anapigwagwa tu! Mh! Tuliaga Kidogo bwana mwe!
Thanks
Report
Reactions:
rpg, genekai and Tabby
[IMG alt="Tume ya Katiba"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/79/79241.jpg?1509448414[/IMG]
JF-Expert Member
Huu ni uonevu wa hali ya juu kama kuna ukweli, kwa nini asipelekwe kwenye vyombo husika?
Thanks
Report
Reactions:
ZeMarcopolo
[IMG alt="makenze"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/254/254894.jpg?1587410469[/IMG]
JF-Expert Member
Oooh Myy God SISIEMU KAZINI
Thanks
Report
Reactions:
BAK
T
Member
nipita tu
Thanks
Report
[IMG alt="FaizaFoxy"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/43/43551.jpg?1421482051[/IMG]
JF-Expert Member
Itakuwa kafumaniwa tu kwa Josefina.
Semeni kweli.
Thanks
Report
Reactions:
uaminifukazi, TuntemekeSanga, Ngarnaand 2 others
T
JF-Expert Member
Huu ni uonevu wa hali ya juu.
Kuliko huu!!?
Attachments

1425751112912.jpg
57.4 KB · Views: 3,228
Thanks
Report
Reactions:
Kongi, Tabby, Jestkilla and 1 other person
[IMG alt="Sangarara"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/55/55767.jpg?1375179724[/IMG]
JF-Expert Member
Laki 4 kwa mlinzi sio haba.
Kwani polisi wanalipwa shilingi ngapi?
Thanks
Report
Reactions:
Kongi, Mtende, Fourier and 1 other person
[IMG alt="Leak"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/71/71917.jpg?1618345855[/IMG]
JF-Expert Member
Hakika chadema ni chama cha watesaji kabisa na ukute wana hisi tuu! Hivi Dr Slaa wamuwekee sumu kwa lipi? huku ni kujipa promo tuu!
Hii imetengenezwa kumpa kiki Slaa aonekane ni tishio..huyu mlinzi ana onewa bure anatakiwa akawafungulie mashitaka hao! Huu ni sawa na huaji kabisa!
Thanks
Report
[IMG alt="MFUKUZI"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/38/38274.jpg?1432675949[/IMG]
JF-Expert Member
Ikumbukwe Kangenzi licha ya kuwa msaidizi wa Karibu wa Dk Slaa ndiye alikuwa akilipwa fedha kidogo za mshahara kiasi kisichozidi sh. 400000 kwa mwezi
Kwanza alitakiwa apigwe kiberiti!!.. Tatizo langu ni kwenye huo mshahara.. unataka kutuambia 400,000/- ni mshahara mdogo kwa sekta yake ya Ulinzi??
Hebu uliza walinzi hususan Polisi ambao ndiyo wanawasaidia ccm kima chao cha chini ni bei gani!!??
Pamoja na yote.. mtu kama huyo hata akilipwa mshahara milioni mbili kama anaroho chafu ya mauaji ataua tu!!..
Kwa hiyo mshahara hapo usitumike kama ndiyo source ya yeye kutaka kumuua DR genuine.. Slaa!!
Thanks
Report
Reactions:
King Mutesa, Mzizi wa Mbuyu and chikutentema
[IMG alt="LESIRIAMU"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/9/9296.jpg?1594058295[/IMG]
JF-Expert Member
Mlinzi wa Dk Slaa,Kangezi,muda huu yupo makao makuu ya Chadema,akiwa na hali mbaya baada ya kushambuliwa na kuanzia asubuhi kwa tuhuma za kutaka kumuwekea sumu bosi wake
Kangezi alianza kupigwa kuanzia saa tatu asubuhi baada ya kuchukuliwa na walinzi wa Chama hicho na kupekuliwa nyumbani kwake kwa ajili ya kutafuta kitu kitakachomuhusisha na Nape,Mwigulu, Kinana na Mzee Mangula
Ikumbukwe Kangenzi licha ya kuwa msaidizi wa Karibu wa Dk Slaa ndiye alikuwa akilipwa fedha kidogo za mshahara kiasi kisichozidi sh. 400000 kwa mwezi
Click to expand...
nyie ccm mnawipa shs ngapi mapolisi wenu? hadi wanakuwa mafisadi wa kuwanyanganya watu mali na uhai wao??
Thanks
Report
M
JF-Expert Member
Yani CCM mmefikia hatua hiyo ya kutaka kutwaa uhai wa Dr. Slaa, kwasababu amepata kibali kwa watanzania. Mshindwe na mlegee.
Thanks
Report
S
JF-Expert Member
EL nawe jiandae.
Thanks
Report
[IMG alt="G Sam"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/137/137610.jpg?1499531462[/IMG]
JF-Expert Member
Itakuwa kafumaniwa tu kwa Josefina.
Semeni kweli.
Wewe ni mwehu!!
Thanks
Report
[IMG alt="CHAMVIGA"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/131/131083.jpg?1366962951[/IMG]
JF-Expert Member
Atakuwa amepigwa na Godless Lema. Huyu jamaa namjua ni mtu mwema nilimuona daresalaam pale mlimani City ni mtu mzuri sana.
Kwakweli chadema ni wauaji wakubwa hawa.
Thanks
Report
Reactions:
faby, FaizaFoxy, uaminifukazi and 1 other person
[IMG alt="FaizaFoxy"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/43/43551.jpg?1421482051[/IMG]
JF-Expert Member
Utakuja tena kuhakikisha.
Thanks
Report
Reactions:
Ngarna
[IMG alt="G Sam"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/137/137610.jpg?1499531462[/IMG]
JF-Expert Member
Utakuja tena kuhakikisha.
Nipo humu bibie!!
Punguza ukanjanja basi!!
Thanks
Report
[IMG alt="FaizaFoxy"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/43/43551.jpg?1421482051[/IMG]
JF-Expert Member
Yani CCM mmefikia hatua hiyo ya kutaka kutwaa uhai wa Dr. Slaa, kwasababu amepata kibali kwa watanzania. Mshindwe na mlegee.
Kwa lipi zaidi? huyo itakuwa kuna lake na Josefina, babu na kalinzi kashabab. Utanambia.
Hapo sasa!
Thanks
Report
Reactions:
Ruttashobolwa and Ngarna