Uchaguzi 2020 Nani mkweli kati ya hawa watu? Spika, NEC au CHADEMA?

Tutajuaje au tutaamini vipi kuwa haya madai yako ni ya kweli?
 
Ndio shida yenu chadema that's why mnafeli

Mnakuwa ni wazee wa ubishi Sana,
No, siyo ubishi!Sasa unataka nikubali kila kitu ambacho kila mtu anasema bila ya kuwepo kwa ushahidi?Unaelewa kuwa mambo mengi ambayo watu huongea ni porojo tu na wala siyo fact?

Kwa mfano Mimi nikikuambia kuwa aliefoji sahihi ya Mnyika kwenye zile fomu ni Magufuli,utakubaliana na mimi?Ndiyo maana ushahidi wa aongeacho mtu ni muhimu sana.Porojo na propaganda hazina nafasi katika mijadala!
 
Ushaidi gani unao?
 
Mnyika amekupa ushahidi gani kuwa hakupeleka majina?
 
Unaweza kuthibitisha kuwa alionyesha copy?Tofauti na hapo tunapiga porojo!
Ndio maana nikasema wat if,
Coz zile form lazima utoe copy so na ww usimwamini Mnyika coz maybe alituonesha blank copy wakati original alishajaza na kuzituma
 
Ndio maana nikasema wat if,
Coz zile form lazima utoe copy so na ww usimwamini Mnyika coz maybe alituonesha blank copy wakati original alishajaza na kuzituma
Unataka kutuma ujumbe gani?Kwamba akina Mdee ni wabunge halali?
 
Awamu ya 5 hakuna kufuata KATIBA Mkuu!! Ukiangalia tu ngoma invyochezwa unajua kabisa COVID19 wana baraka kutoka "JUU" na pia baraka za "MAFEDHA" na MKUU NDUGAI.
 
Unataka kutuma ujumbe gani?Kwamba akina Mdee ni wabunge halali?
Absolutely yes
Wanaweza wasiwe halali kwa majina yao sio ambayo yaliopelekwa na chadema

Ni kama ww uweke Jina la watoto wako then wakaenda watoto wa mdogo wako but lengo la kukubali ubunge lilishapitishwa
 
Chadema walishasema kuwa hawatambui uchaguzi na chochote kitokanacho na uchaguzi huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…