Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Na si mara ya kwanza kufanya hivyo; kila wakati lisakosi likikurupuka katika maamuzi yake, lazima Mr Speaker astep in ili kusuluhisha mambo --- na hata hivyo, ndiyo maana ya Uspika wenyewe, au siyo???Anatetea wachache na pia ni wanawake,[emoji23]