Uchaguzi 2020 Nani mkweli kati ya hawa watu? Spika, NEC au CHADEMA?

Uchaguzi 2020 Nani mkweli kati ya hawa watu? Spika, NEC au CHADEMA?

Nadhani CHADEMA wanapaswa kuiandikia NEC barua kuijulisha kwamba hao wabunge wamepoteza sifa za kuendelea kuwa wabunge sababu wamefukuzwa chama.

Halafu NEC ndio walijulishe bunge.
 
Nimemsikiliza spika ni uthibitisho mwingine nchi haiongozwi kwa katiba na sio Mara ya kwanza

Kamati kuu ya chadema imeshamaliza kazi yake, swala la yeye kuendelea kuwaruhusu kufanya kazi za kibunge huku sio wananchama wa chama chochote ni ujinga, sababu hatakama ni kutaka kupewa hizo trillion 2 itangonga mwamba sababu mzungu akupi hela yake hivi hivi, ukizingatia ameshatilia Shaka utawala wa magufuli

Chadema ni taasis huru kamwe tume au mahakamani hawawez kuwapangia mambo ya kufanya, kwa hiyo ndugai aache kufanya watu wajinga
 
Chadema wanasema hawakupeleka majina NEC,nani alipeleka?

NEC wanasema Mnyika kama katibu mkuu aliwapelekea majina tena yaliyopewa baraka na kamati kuu ya Chadema. Hii ni kweli au sio kweli?...

Mbona hii ngoma ilishamalizika ile kitambo tuu? Chama cha Demoghasia & Maombolezo ilikaa ikajitafakari kwamba adui wao mkubwa ni wananchama wanaojidai wanaharakati lakini hawatokei kwenye kura wala maandamano. Sasa JK alishasema: Akili za kuambiwa.

Mlimwaga mboga kwa kutopiga kura wala kutokea kwenye maandamano, wao wameamua kukwapua ugali kwa kuunga mkono juhudi -- ila tu sharti msiamini kinachoendelea, ndiyo kisa cha danadana zisizoeleweka kati ya Mr Hai, Katibu na yule mbunge wenu wa zamani. But wote wanaelewana kabisa nyuma ya pazia. Do I make any sense, even???
 
Mbona hii ngoma ilishamalizika ile kitambo? Chama cha Demoghasia & Maombolezo ilikaa ikajitafakari kwamba adui wao mkubwa ni wananchama wanaojidai wanaharakati lakini hawatokei kwenye maandamano...
Nahisi kuna harufu ya ukweli.
 
Ruzuku inatokana na wabunge au kura za urais za mgombea wa chama!?
Kura za rais halafu usipate mbunge mmm hata wao Wabunge kuna mchango kwenye chama hukumbuki kuna wakati walikuwa wanalalamika wanakatwa pesa nyingi hazina hesabu[emoji23][emoji23][emoji23] mie si mwanasiasa mkuu
 
Hivi kweli eti Ndugai leo amegeuka kuwa mtetezi wa wabunge wa CHADEMA? najaribu tu kuwaza
 
We piga kelele tu hapa ndugu zako sijui mnawaita "makamanda" wanajiandaa kupanda v8 na kupiga mabenchi bungeni🤔🤔🤔
 
Kati ya mambo aliyowahi fanya na kufeli hili amefeli kupitiliza yaani wazungu wanaita "Zerowing" sasa nafsi inamsuta kila akitokeza kufanya shughuli yoyote lazima aingize ishu ya wabunge 19 inawezekana hili jambo limemuumiza na kumuathiri kisaikolojia maaana kama Chadema walishamaliza kazi lakini kila wakati ooh sijui nani kasema shida nini?
 
Hivi kweli eti Ndugai leo amegeuka kuwa mtetezi wa wabunge wa CHADEMA? najaribu tu kuwaza
Usisahau kuwaza pia kwamba ile "Team 19," akiwemo yule mbunge wa zamani kindakindaki wa Kawe wangeweza kuunga mkono juhudi kweli, tena kirahisi hivyo, tena haraka hivyo?

Najaribu tu kukuwazisha na hili usilisahau!? In fact, hatua ya Mr Spika ya kuwatetea inapaswa kupongezwa sana kwa sababu ya uthubutu wa akina dada hawa, dhidi ya "hujuma & rafu" (kama si kiinimacho) ambazo kidogo watendewe.
 
Chadema wanasema hawakupeleka majina NEC,nani alipeleka?

NEC wanasema Mnyika kama katibu mkuu aliwapelekea majina tena yaliyopewa baraka na kamati kuu ya Chadema. Hii ni kweli au sio kweli?....
Mkali atapatikana kwa kutumia katiba
 
Jambo ambalo naamini mimi ni CDM wamepeka majina maana Kama cdm wangekuwa hajapeleka majina na tunavyowaaminia makamanda (Halima & wenzie) wasingekubal kwenda bungeni LAKINI yanaweza kuwa hayajapelekwa na Mnyika
Kama kweli CDM walipeleka majina hayo, nini kinawafanya akina HALIMA na wenzie kukata rufaa?
 
Back
Top Bottom