Nani mmiliki wa uwanja wa Sokoine Mbeya?

Nani mmiliki wa uwanja wa Sokoine Mbeya?

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
5,929
Reaction score
8,327
Uwanja huu ufungiwe mpaka mmiliki aweke nyasi bandia. Tope kama lote hata mpira haunogi.
Ni hayo tu.
 
Bila picha ni makosa makubwa naomba mods na huu uzi ufungiwe.
 
uwanja wa karume mbeya....upo maeneo gani hapa?
 
Uwanja huu ufungiwe mpaka mmiliki aweke nyasi bandia. Tope kama lote hata mpira haunogi.
Ni hayo tu.
Uwanja ule unatumika sana ndo maana unakuwa kwenye hali mbaya ndani ya siku tano zilichezwa mechi 4 halafu na mvua juu.
Hata hivyo hapa bongo viwanja vingi haviwezi kuhimili mvua hata pale LUPASO mvua ikinyesha Uwanja unajaa maji.
 
Uwanja uendelee kutumika sababu kuna timu zimepata matokeo mabovu sababu ya uwanja . Hayo maamuzi ni kama kuzibeba baadhi ya timu.
 
Uwanja ule unatumika sana ndo maana unakuwa kwenye hali mbaya ndani ya siku tano zilichezwa mechi 4 halafu na mvua juu.
Hata hivyo hapa bongo viwanja vingi haviwezi kuhimili mvua hata pale LUPASO mvua ikinyesha Uwanja unajaa maji.
Ok kwani uwanja huu hauna underground drainage system?au hauna tofauti ni mji mzima wa Mbeya ambao drainage system yake ni ziro!!
 
Back
Top Bottom