Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga


Copy Na Paste Kutoka Salehe Jembe Blog.......Akhsante Lakini!
 
Amepewa viwili lkn analilia aongezwe...
 

Attachments

  • 1418537040902.jpg
    19.6 KB · Views: 141
pole sana mkuu ndio mchezo tu huo..

Asante sana Mkuu. Mimi siumii kufungwa bali naumia maamuzi mabovu kiasi kile nadhani Jamal Malinzi na safu yake ya uongozi wanatakiwa kutambua kuwa mechi ya Yanga na Simba siyo ya kujifunzia kupuliza kipenga, kama huyo dada wanampenda ni vyema wakampeleka 'Sheraton' badala ya kumpa mechi kubwa kama ile hata kama ni ya mchangani.

Niko disappointed sana na mchezo wa jana!
 
Last edited by a moderator:

Mavi matupu. Mmefungwa fair and clear.Kusingizia refa is so low hata hamna namna ya justify. Refa amechezesha vizuri bila upendeleo kwa timu zote mbili. Tatizo mkifungwa lazima apatikane mchawi.
Uchungu ukizidi nenda Muhimbili ukasaidiwe.
 
Last edited by a moderator:

Ila ndugu yangu, magoli yale hayahusiani kabisa na refa kuchemsha, au yale mliokosa wala hayahusiani na refa. Ni kosa lipi ambalo jana lilikuwa kubwa la kuigharimu yanga upande wa refa?
 
Last edited by a moderator:
Kosa la refa ni kuruhusu magoli halali ya Simba. Hongera TFF kwa kuleta refa ambaye hajazoeleka lakini makini ili mechi ichezeshwe kwa haki na hicho ndicho kilichotokea hutaki kanunue kamba umalizie ujinga wako.
 
Leo mitaani kuna amani, kimyaaaaa, kumbe dawa ndogo tu, bao mbili tu za kulalia watu hoi.
 
Ila ndugu yangu, magoli yale hayahusiani kabisa na refa kuchemsha, au yale mliokosa wala hayahusiani na refa. Ni kosa lipi ambalo jana lilikuwa kubwa la kuigharimu yanga upande wa refa?

Jibu ni hakuna. Wamefungwa kihalali kabisa
 

Refa kafanya nn hadi mukakosa siyo tu kushinda, hata goli? Je magoli mawili muliyofyngwa ni kwa ajili ya refa au ni makosa na purukushani za mpira za kawaida! Asiyekubali kushindwa si mshindani!
 
Last edited by a moderator:
Mechi kubwa na ya mchangani. Kweli kufungwa kama haupo makini una we za kupelekwa Mirembe. Mechi inawezaje kuwa kubwa na hapo hapo ikawa ya mchangani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…