Simba walipiga viatu sana hata kupelekea beki wetu kisiki Mbuyu Twite kuumia, refa alitunyima penati ya wazi, Okwi kampa yellow cards 2 bila kumtoa nje na akaendelea kutusumbua takribani dakika 5 za kawaida na kisha kuendelea kutukosakosa dakika 4 za nyongeza. Magoli mliyofunga siyalalamikii hata moja lakini na sisi tungewapiga pia kama maamuzi yangekuwa sahihi. Huo ndio msingi wa malalamiko yangu kwa refa 'mkazi' wa jana. CC. Jamal Malinzi & Company TFF.
innalilah na maswabrina

tutajipange msimu ujao hamna tabu. Mpira una matokeo matatu. Mia
Namhala pole sana kwa kipigo, na kiwiko cha Yondani kwenda kwa Okwi na hakuna kadi yoyote iliyotolewa na penyewe unasemaje?
Hivi kuzimia ni conscious or unconscious???Nina mashaka mashabiki wa yanga wanazimia makusudi!!!unazimiaje kwa kitu unachojua lazima jitokee???wanaenda uwanjani wakijua watafungwa wakifungwa wanazimia
Mkuu hiyo ni mechi ya watani wa jadi, si kila anayezimia ni mwanayanga, wengine ni wanasimba wanavaa jezi za Yanga, Simba kishinda wanajifanya kuzimia ili kunogesha ushindi wao. Tumewashtukia maana hili tukio la kuzimia limechukua kasi katika hizi mechi za hivi karibuni.
Na mimi najiandaa kuvaa jezi ya Simba katika mechi zijazo, siku Yanga ikishinda ni lazima Simba wanibebe kwa machela maana ni lazima nizimike kabisa wala siyo kuzimia tu! Si unakukumbuka kale ka usemi, siyo kila king'aacho ni dhahabu.
usije ukajaribu kufanya hivyo, simba tuna alama zetu tutakuumbua!
Wewe kwetu najisi ukionekana na jezi yetu.Ukishughulikiwa usilaumu kwani naona akili ndogo ulizokuwa nazo zinayeyuka kwa spidi kali kwa kipigo cha mbili bila.
Mkuu hiyo ni mechi ya watani wa jadi, si kila anayezimia ni mwanayanga, wengine ni wanasimba wanavaa jezi za Yanga, Simba kishinda wanajifanya kuzimia ili kunogesha ushindi wao. Tumewashtukia maana hili tukio la kuzimia limechukua kasi katika hizi mechi za hivi karibuni.
Na mimi najiandaa kuvaa jezi ya Simba katika mechi zijazo, siku Yanga ikishinda ni lazima Simba wanibebe kwa machela maana ni lazima nizimike kabisa wala siyo kuzimia tu! Si unakukumbuka kale ka usemi, siyo kila king'aacho ni dhahabu.
Ha ha hahahaha hiyo kali, siku hiyo ikitokea nitalazimika kukusaidia kuzimika, itabidi ushabiki wa Simba na Yanga tuuweke pembeni ili twende kikanda zaidi.Mkuu hiyo ni mechi ya watani wa jadi, si kila anayezimia ni mwanayanga, wengine ni wanasimba wanavaa jezi za Yanga, Simba kishinda wanajifanya kuzimia ili kunogesha ushindi wao. Tumewashtukia maana hili tukio la kuzimia limechukua kasi katika hizi mechi za hivi karibuni.