Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Kinachomchanganya ni kusema sana kabla ya mechi ya jana.Vimekatikia viwili lazima aweweseke.
 
Simba walipiga viatu sana hata kupelekea beki wetu kisiki Mbuyu Twite kuumia, refa alitunyima penati ya wazi, Okwi kampa yellow cards 2 bila kumtoa nje na akaendelea kutusumbua takribani dakika 5 za kawaida na kisha kuendelea kutukosakosa dakika 4 za nyongeza. Magoli mliyofunga siyalalamikii hata moja lakini na sisi tungewapiga pia kama maamuzi yangekuwa sahihi. Huo ndio msingi wa malalamiko yangu kwa refa 'mkazi' wa jana. CC. Jamal Malinzi & Company TFF.

Unamlalamikia refa wakati timu zote zilikuwa hazipigi mashuti golini! Unamlalamikia refa kwa lipi haswa? Mbuyu Twite alienda kwa nia ya kucheza rafu na ndio maana alipewa kadi licha ya yeye kuumia.

Mngewafunga Simba kwa mashuti yapi yaliyolenga lango? Mashambulizi ya Yanga yalikuwa yanaishia nje ya kumi nane, hata refa angeongeza nusu saa kufunga bado ingekuwa shida.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuzimia ni conscious or unconscious???Nina mashaka mashabiki wa yanga wanazimia makusudi!!!unazimiaje kwa kitu unachojua lazima jitokee???wanaenda uwanjani wakijua watafungwa wakifungwa wanazimia
 
Namna ya kumzuga Kanjibhai. Mjini shule. Kuna msabato alizimia kazinduka leo baada ya Kanjibhai kumpotezea.
 
Simba walipiga viatu sana hata kupelekea beki wetu kisiki Mbuyu Twite kuumia, refa alitunyima penati ya wazi, Okwi kampa yellow cards 2 bila kumtoa nje na akaendelea kutusumbua takribani dakika 5 za kawaida na kisha kuendelea kutukosakosa dakika 4 za nyongeza. Magoli mliyofunga siyalalamikii hata moja lakini na sisi tungewapiga pia kama maamuzi yangekuwa sahihi. Huo ndio msingi wa malalamiko yangu kwa refa 'mkazi' wa jana. CC. Jamal Malinzi & Company TFF.

Namhala pole sana kwa kipigo, na kiwiko cha Yondani kwenda kwa Okwi na hakuna kadi yoyote iliyotolewa na penyewe unasemaje?
 
Masuke nisingependa refa atowe kadi nyekundu kwa kiwiko cha Yondan kwani ingetumiwa kama sababu ya kichapo. Refa alitumia busara kwenye mechi yenye high tension kama ya jana.Tumewasajili Juuko na Sam Ssrenkuma leo
Wataoachwa ni Tambwe na Kwizera.
 
Namhala pole sana kwa kipigo, na kiwiko cha Yondani kwenda kwa Okwi na hakuna kadi yoyote iliyotolewa na penyewe unasemaje?

Unaona eeeh! Ndiyo maamuzi mabovu ninayoyalalamikia mie! Asante sana kwa pole yako. Tukutane tena kwenye ligi.
 
Hivi kuzimia ni conscious or unconscious???Nina mashaka mashabiki wa yanga wanazimia makusudi!!!unazimiaje kwa kitu unachojua lazima jitokee???wanaenda uwanjani wakijua watafungwa wakifungwa wanazimia

Mkuu hiyo ni mechi ya watani wa jadi, si kila anayezimia ni mwanayanga, wengine ni wanasimba wanavaa jezi za Yanga, Simba kishinda wanajifanya kuzimia ili kunogesha ushindi wao. Tumewashtukia maana hili tukio la kuzimia limechukua kasi katika hizi mechi za hivi karibuni.

Na mimi najiandaa kuvaa jezi ya Simba katika mechi zijazo, siku Yanga ikishinda ni lazima Simba wanibebe kwa machela maana ni lazima nizimike kabisa wala siyo kuzimia tu! Si unakukumbuka kale ka usemi, siyo kila king'aacho ni dhahabu.
 
Wewe kwetu najisi ukionekana na jezi yetu.Ukishughulikiwa usilaumu kwani naona akili ndogo ulizokuwa nazo zinayeyuka kwa spidi kali kwa kipigo cha mbili bila.
 
usije ukajaribu kufanya hivyo, simba tuna alama zetu tutakuumbua!
 
Mkuu ninachoandika ninakijua, mimi ni Professional Spy mwenye caliber ya FBI, nimeshajichanganya kwa mashabiki wa Simba several times hasa maeneo nisikojulikana. Mara ya mwisho ilikuwa mwaka jana kipindi natoka Dar kwenda kwetu Kanda ya Ziwa nilipita Mji Kasoro Bahari katika mechi ya Mtibwa v Simba niliketi katikati ya mashabiki wa Simba bila wao kujua hadi mwisho wa mchezo. Ile mechi ilitoka sare na kama Simba angelala nilikuwa nazimia na wangenibeba tu!
 
Wewe kwetu najisi ukionekana na jezi yetu.Ukishughulikiwa usilaumu kwani naona akili ndogo ulizokuwa nazo zinayeyuka kwa spidi kali kwa kipigo cha mbili bila.

Wewe kilaza huwezi ku-argue na watu wenye IQ ya juu kama Makoye Matale. Hata umri wako hapa JFni mdogo sana, wewe siyo saizi yangu, saizi yanu ni kama Masuke, ndetichia na Wakuu wengine, siyo wewe.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hiyo ni mechi ya watani wa jadi, si kila anayezimia ni mwanayanga, wengine ni wanasimba wanavaa jezi za Yanga, Simba kishinda wanajifanya kuzimia ili kunogesha ushindi wao. Tumewashtukia maana hili tukio la kuzimia limechukua kasi katika hizi mechi za hivi karibuni.

Na mimi najiandaa kuvaa jezi ya Simba katika mechi zijazo, siku Yanga ikishinda ni lazima Simba wanibebe kwa machela maana ni lazima nizimike kabisa wala siyo kuzimia tu! Si unakukumbuka kale ka usemi, siyo kila king'aacho ni dhahabu.

Hehheh umenifurahisha hehehe...polen lakin
 
IQ ya mtu kama wewe inakuwa determined na matamshi yako.Brain ability yako ya ku argue ni sawa na mtoto mjinga. Eti umri?Kuwa older member ndio inakufanya uwe genius?Wacha ufala.
 
Unapenda kubebwa!Kuna siku utabebwa na kushangaa mlenda mlenda kunako mahali. Jitu jinga linajivunia kupenda kubebwa.
 
Mkuu hiyo ni mechi ya watani wa jadi, si kila anayezimia ni mwanayanga, wengine ni wanasimba wanavaa jezi za Yanga, Simba kishinda wanajifanya kuzimia ili kunogesha ushindi wao. Tumewashtukia maana hili tukio la kuzimia limechukua kasi katika hizi mechi za hivi karibuni.

Na mimi najiandaa kuvaa jezi ya Simba katika mechi zijazo, siku Yanga ikishinda ni lazima Simba wanibebe kwa machela maana ni lazima nizimike kabisa wala siyo kuzimia tu! Si unakukumbuka kale ka usemi, siyo kila king'aacho ni dhahabu.
Ha ha hahahaha hiyo kali, siku hiyo ikitokea nitalazimika kukusaidia kuzimika, itabidi ushabiki wa Simba na Yanga tuuweke pembeni ili twende kikanda zaidi.
 
Back
Top Bottom