Mkuu punguza ukali wa maneno, sisi tumeshinda na tuna furaha, mtu ukiwa na furaha hutakiwi kutoa maneno mazito namna hiyo. Take it easy chukulia ni hasira za kufungwa tu.Unapenda kubebwa!Kuna siku utabebwa na kushangaa mlenda mlenda kunako mahali. Jitu jinga linajivunia kupenda kubebwa.
Nani mtani jembe? Na wote mseme simbaaaaaaaaaaaaaa!!
Mkuu ninachoandika ninakijua, mimi ni Professional Spy mwenye caliber ya FBI, nimeshajichanganya kwa mashabiki wa Simba several times hasa maeneo nisikojulikana. Mara ya mwisho ilikuwa mwaka jana kipindi natoka Dar kwenda kwetu Kanda ya Ziwa nilipita Mji Kasoro Bahari katika mechi ya Mtibwa v Simba niliketi katikati ya mashabiki wa Simba bila wao kujua hadi mwisho wa mchezo. Ile mechi ilitoka sare na kama Simba angelala nilikuwa nazimia na wangenibeba tu!
Mkuu hiyo ni mechi ya watani wa jadi, si kila anayezimia ni mwanayanga, wengine ni wanasimba wanavaa jezi za Yanga, Simba kishinda wanajifanya kuzimia ili kunogesha ushindi wao. Tumewashtukia maana hili tukio la kuzimia limechukua kasi katika hizi mechi za hivi karibuni.
Na mimi najiandaa kuvaa jezi ya Simba katika mechi zijazo, siku Yanga ikishinda ni lazima Simba wanibebe kwa machela maana ni lazima nizimike kabisa wala siyo kuzimia tu! Si unakukumbuka kale ka usemi, siyo kila king'aacho ni dhahabu.
Makoye Matale umenisikitisha sana ndugu yangu. unajua mi nlikuwa nakuona wewe angalau kidog unaweza ukawa unafikiria.... i was totaly wrong. ule mpira yanga tumefungwa tumefungwa kwa kuwa simba walituzidi uwezo.okwi hakuwa na kasi ya njano watangazaji wa TBC walikosea hata kuangalia nani alipewa kadi before. hakuwa okwi. but pia la kusema simba walipiga buti hili nalo mbona ni la utetezi wa kitoto? kama ni hivyo hata maximo asingefukuzwa...afadhari ungekaa kimya tu wla nsingekufikiria hivi ambavyo sasa nakufikiria. simba ndiyo mtani jembe yanga ni mtani ungo. full stop. hayo mengine zimebaki story.
Masuke said:Huyo refa nimempenda bure, kuna mtu ana taarifa zake kama yuko single tuangalie uwezekano?
duh! Sidhani!
Kutoka Mtandaoni said:"Mimi sijaolewa na bado ninaishi kwetu," alisema Jonesia huku akicheka.
mkuu umetisha...nimekugundua uwezo wangu wa kupambana na wewe ni mdogo sana!narusha taulo jeupe
Kandanda safi wapi bhana si useme tu mlicheza butua butua!!!! tangu mwaka huu uanze simba haijawahi kucheza kandanda safi.Mechi ya Nani Mtani Jembe, ilikuwa ni ya kugombania milioni 100, wanjani mnashindania milioni 20 na kwenye bar milioni 80. Timu inayoshinda uwanjani inapewa milion 15 na inayofungwa milioni 5.
Katika mechi iliyochezwa 13/12/2014 Taifa Stadium Simba Sc tulishinda goli 2 kavu, huku tukionesha kandanda maridadi sana. Kuhusu matokeo ya kulewa ovyo kwenye Bar na kuokota vizibo vya Kili na kutuma, wanakuja Mtaa wa 2 kukusaidia matokeo.
Kandanda safi wapi bhana si useme tu mlicheza butua butua!!!! tangu mwaka huu uanze simba haijawahi kucheza kandanda safi.
mkolaj kwa kuongezea tu, kiutalamu lile kandanda safi tulilolionesha siku ile linaitwa "sexy football".
Punguza unazi ndugu...kuchamba kwingi......
Simba walipata zaidi ya milion 76 ya kufungua vizibo na milion 15 ya uwanjani, jumla ilikuwa zaidi ya milion 91, na Yanga waliambulia chini ya milion 9, milion 5 uwanjani na chini ya milion 4 kufungua vizibo.Kuhusu ile 80m ya pombe Simba alipata 71m na Yanga alipata 9m. Kama nimekosea waweza kusahihisha but ndivyo nijuavyo.
Simba walipata zaidi ya milion 76 ya kufungua vizibo na milion 15 ya uwanjani, jumla ilikuwa zaidi ya milion 91, na Yanga waliambulia chini ya milion 9, milion 5 uwanjani na chini ya milion 4 kufungua vizibo.