mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
Yanga hawawez kuifunga simba labda hiyo xiku ixiwe na giza wala mwanga.
Huku Mkude +sserunkuma+okwi emanuel upande wa simba huku Kpah sherman +emarson+msuva+ngasaupande wa yanga,,,,Wadau zikiwa zimebaki dakika nyingi kipenga kipulizwe,huu ni mpira mkubwa kupigwa taifa kati ya Mnyama majeruhi na Watoto wa Jangwani wazee wa "importation made in Brazil".Game hii naileta kwenu hapa JF kwa ushirikiano wa wadau wote. Karibu tuione Simba ya Sserunkuma na Yanga ya Mbrazili.Karibuni sana
naomba pia muwe mnanitonya taarifa za hongo mpirani (match fixing).Nataka tuwakamate na kuwaadhibu wanaotuharibia mpira kwa kuwapiga kifungo cha maisha tukiwabaini.Tunachotaka ni fair play.
kama simba sc wakijipanga hivi
6. Mkude
7. Ndemla
8. Kisiga
9. Sserunkuma
10. Okwi
11. Singano
wanaweza leta upinzani mkali sana,
wachezaji hao wote wana kasi na uwezo mkubwa wa kushambulia pamoja na
kukaba kwa aina zote
1. Zonal
2. One against one
yanga kama wataiona line up hiyo mapema ni lazima maximo aje na formation ya
kutawala kiungo ili kukata fighting coordination ya viungo na washambuliaji wa simba.
phiri ni muumini
wa 4-4-2 katika patterns za mpira wa kasi, pasi fupi na kuruhusu viungo wa pembeni
kutengeneza nafasi za kufunga ( opportunities) wakati kati kati hupafanya killing zone kwa rebound
clearance na uanzishwaji wa haraka wa counter hapo utafahamu mara nyingi
nane ya simba huwa huru( never tasked) lakini hutengeneza nafasi za kushitukiza
na hugeuka assistant attacking mid fielder kama mashambulizi yakianzia kwa sita.
maximo anahitajika kumwelewa vizuri phiri sivyo safari ya brazil itawadia.
simba inajua mara nyingi ikikutana na yanga ina 60℅ ya ushindi kutokana na
historia na saikolojia ya wana yanga hivyo huingia uwanjani kama watetezi na
yanga kama wanyonge wanaohitaji kujinasua katika utumwa huo.
basi kazi ya ziada inahitajika katika kuipanga timu ki ushindi haswaa!

1. Ivo Mapundakama simba sc wakijipanga hivi

FT: Simba 4 Kandambili 0
1. Ivo Mapunda
2. Lucian William
3. Hassan Shabalala
4. Isihaka
5. Owino
6. Mkude
7. Singano
8. Ndemla/Awadh Juma/Kisiga
9. Sserunkuma/Tambwe
10. Tambwe/Sserunkuma
11. Okwi.
Hicho ndo kikosi cha maangamizi kutoka unyamani.
Simba Mzee, Simba kachoka. Safari hii amjaenda South Africa! Simba walikuwa wamashianda sababu ya kuonga baadhi ya wachezaji wa timu pinzani na marefa
Nipo kandambili kwa mkopo!!
Mikia wapigwe tu