Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Siku hiyo ikifika sa moja jioni msije andika neno SIMBA UKAWA hapa,muendelee hivo hivo kuandika salekuma
 
Wadau zikiwa zimebaki dakika nyingi kipenga kipulizwe,huu ni mpira mkubwa kupigwa taifa kati ya Mnyama majeruhi na Watoto wa Jangwani wazee wa "importation made in Brazil".Game hii naileta kwenu hapa JF kwa ushirikiano wa wadau wote. Karibu tuione Simba ya Sserunkuma na Yanga ya Mbrazili.Karibuni sana
Huku Mkude +sserunkuma+okwi emanuel upande wa simba huku Kpah sherman +emarson+msuva+ngasaupande wa yanga,,,,
 
kama simba sc wakijipanga hivi
6. Mkude
7. Ndemla
8. Kisiga
9. Sserunkuma
10. Okwi
11. Singano

wanaweza leta upinzani mkali sana,
wachezaji hao wote wana kasi na uwezo mkubwa wa kushambulia pamoja na
kukaba kwa aina zote
1. Zonal
2. One against one
yanga kama wataiona line up hiyo mapema ni lazima maximo aje na formation ya
kutawala kiungo ili kukata fighting coordination ya viungo na washambuliaji wa simba.

phiri ni muumini
wa 4-4-2 katika patterns za mpira wa kasi, pasi fupi na kuruhusu viungo wa pembeni
kutengeneza nafasi za kufunga ( opportunities) wakati kati kati hupafanya killing zone kwa rebound
clearance na uanzishwaji wa haraka wa counter hapo utafahamu mara nyingi
nane ya simba huwa huru( never tasked) lakini hutengeneza nafasi za kushitukiza
na hugeuka assistant attacking mid fielder kama mashambulizi yakianzia kwa sita.

maximo anahitajika kumwelewa vizuri phiri sivyo safari ya brazil itawadia.
simba inajua mara nyingi ikikutana na yanga ina 60℅ ya ushindi kutokana na
historia na saikolojia ya wana yanga hivyo huingia uwanjani kama watetezi na
yanga kama wanyonge wanaohitaji kujinasua katika utumwa huo.

basi kazi ya ziada inahitajika katika kuipanga timu ki ushindi haswaa!
 
Good analysis
 
6.Mkude
7.Uhuru
8.Ndemla/Kisiga
9.Sserunkuma
10.Tambwe
11.Okwi
 
1. Ivo Mapunda
2. Lucian William
3. Hassan Shabalala
4. Isihaka
5. Owino
6. Mkude
7. Singano
8. Ndemla/Awadh Juma/Kisiga
9. Sserunkuma/Tambwe
10. Tambwe/Sserunkuma
11. Okwi.

Hicho ndo kikosi cha maangamizi kutoka unyamani.
 
FT: Simba 4 Kandambili 0

Simba Mzee, Simba kachoka. Safari hii amjaenda South Africa! Simba walikuwa wamashianda sababu ya kuonga baadhi ya wachezaji wa timu pinzani na marefa
 
Line up ya ushindi ni hii ya mfumo wa 4-3-3 ie
Ivo
Gallas
Tshabalala
Isihaka
Owino
Kwizera
Mkude
Ndemla/Kisiga
Okwi
Tambwe
Sserenkuma
 
1.dida 2.Twite 3.Oska 4.Kanavaro 5.Yondani 6.Emerson 7.Msuva 8.Niyonzima 9.Sherman 10.Ngasa 11.Coutinho 12.Mrwanda 13.Dilunga 14. Tegete 15.Javu...... Daah Kumbe Mwisho 11, Basi Hao Wengine Punguzeni Wenyewe Msije Kuzimia Kabla Mechi Haijaanza..
 
1. Ivo Mapunda
2. Lucian William
3. Hassan Shabalala
4. Isihaka
5. Owino
6. Mkude
7. Singano
8. Ndemla/Awadh Juma/Kisiga
9. Sserunkuma/Tambwe
10. Tambwe/Sserunkuma
11. Okwi.

Hicho ndo kikosi cha maangamizi kutoka unyamani.

Kikosi Hicho Ndicho Kitakachowafanya Mashabiki Wa Simba Kuzimia Na Wengine Kufa Kabisa...Hawa Jamaa Ni Noma!
 
Attachments

  • YANGA%2BKIKOSI.jpg
    YANGA%2BKIKOSI.jpg
    206.7 KB · Views: 316
Mpaka sasa Simba ina 74.4 mln na Yanga 5.6 miln
 
Simba Mzee, Simba kachoka. Safari hii amjaenda South Africa! Simba walikuwa wamashianda sababu ya kuonga baadhi ya wachezaji wa timu pinzani na marefa

Afadhari mmeshaongea mapema, ili baadae tutakapowatua zakutosha mkose sababu.
 
Safari hii acha nao washinde kwenye ulevi, sisi tutashinda uwanjani.

Mwaka huu tumedhamiria, na kama zoezi lingefungwa kesho nadhani jmosi ya leo tungemalizia na zilizobaki. Hapa chini ni matokeo kabla ya saa mbili asubuhi leo.

Simba.PNG
 
Back
Top Bottom