please wait while loading... 92% game onMwaka huu tumedhamiria, na kama zoezi lingefungwa kesho nadhani jmosi ya leo tungemalizia na zilizobaki. Hapa chini ni matokeo kabla ya saa mbili asubuhi leo.
View attachment 210459
naomba pia muwe mnanitonya taarifa za hongo mpirani (match fixing).Nataka tuwakamate na kuwaadhibu wanaotuharibia mpira kwa kuwapiga kifungo cha maisha tukiwabaini.Tunachotaka ni fair play.
umfunge m2 maisha kwa 7bu ya mpira? Labda escrow
Yani hawatuwezi..yanga ni mdebwedooo hehehe
Azam Two link hiyo kwa wabeba box wenzangu mnaweza kufatilia game hapa
Leaving Facebook...
YANGA please pale golini msimuweke yule jamaa wa kigoma.
umfunge m2 maisha kwa 7bu ya mpira? Labda escrow
Hata mimi namshangaa huyu Malinzi,anataka watanzania wote milioni 44 twendw uwanjanihivi wewe rais gani mroho namna hii.hamna lolote mnataka mpige entrance fee ya maana,nitoke Mwanza kuja kuangalia mechi Dar,huu si ufala.hapo tiyari ushachakachua tiketi hata za 10m!nyie CCM waizi sana
Ni kama Arsenal kuifunga Manu, hata Manu iwe mbovu kivipi na Arsenal iwe kali kivipi, kichapo kipo pale pale kwa Arsenal ndani na nje. Yanga ndo Arsenal.
simba taifa kubwa
Hana nafasi tena yule kima...