Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Hbr wote mlioko humu.Bila kupoteza muda,Leo ndio ile cku tuliyoisubiri kwa hamu.Je unahic nani Leo ataibuka kidedea Kati ya Simba na yanga?
 
aisee Simba noma sana Mpaka sasa wana 75.mln kibindoni huku wavaa ndala 4.5 miln.
 
naomba pia muwe mnanitonya taarifa za hongo mpirani (match fixing).Nataka tuwakamate na kuwaadhibu wanaotuharibia mpira kwa kuwapiga kifungo cha maisha tukiwabaini.Tunachotaka ni fair play.

umfunge m2 maisha kwa 7bu ya mpira? Labda escrow
 
Yani hawatuwezi..yanga ni mdebwedooo hehehe

Ni kama Arsenal kuifunga Manu, hata Manu iwe mbovu kivipi na Arsenal iwe kali kivipi, kichapo kipo pale pale kwa Arsenal ndani na nje. Yanga ndo Arsenal.
 
YANGA please pale golini msimuweke yule jamaa wa kigoma.
 
hivi wewe rais gani mroho namna hii.hamna lolote mnataka mpige entrance fee ya maana,nitoke Mwanza kuja kuangalia mechi Dar,huu si ufala.hapo tiyari ushachakachua tiketi hata za 10m!nyie CCM waizi sana
Hata mimi namshangaa huyu Malinzi,anataka watanzania wote milioni 44 twendw uwanjani
 
Jamani huyu kiumbe Mandieta yuko wapi siku hizi?
 
Last edited by a moderator:
Hivi nitaionaje hii mechi ya leo ya Yanga na Simba kwenye internet hapa UK?
 
jaman wadau mtutaarifu live mnyama anavochinjwa huko hatimae tujumuike pamoja pale Simba kapakatwa pub kusherekea pamoja
 
Simba wanacheza na majina zaidi kuliko ukweli. Muda mfupi ujao kila kitu kitakuwa wazi. I presume Yanga 3-1 Simba. Kiburi chote kimewekwa kwa Andunje Sserunkuma, siye tunayo ma Sserunmbo kibao, ukiondoa huyo kikosi cha mikia kilichobaki ndio hicho kilichoshinda mechi moja na kutoa sare 6 mfululizo. Yanga, mbele daima, nyuma mwiko.
 
Hivi mechi inaanza saa ngapi na inaoneshwa na kituo gani? nataka nimuone NGASA AKITUPIA 2 PEKE YAKE
 
Back
Top Bottom