Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Yanga ni timu inayo stahili kuchapwa viboko yani wao ni kwenda mbele tuu lakini goli hawalioni! Maksimo lazima afukuzwe!
 

Attachments

  • 1418478085811.jpg
    68.3 KB · Views: 210
I love you simba fc kuliko nchi yangi ya Tanzania
 
Kuna shabiki wa Yanga kazimia kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…