Nani Mtanzania mwenye karma nyingi huko Reddit?

Nani Mtanzania mwenye karma nyingi huko Reddit?

Mimi natumianga Kenya Talk (KT).

Hebu acheni kutumia tu time mingi kuperuzi kwa JF tu, you can come to KT na ujipatiange manzi ya kikenya.

Kitu nzuri ni kuwa kutongoza manzi ya Kenya ni kitu rahisi tofauti na wa TZ.
 
😂 subreddit ya r/Tanzania jau, ila watu si wanakimbilia r/Tanzanias ile nyingine.
Mods wa r/Tanzania wako too harsh mpaka wamefanya wstu wakimbie ,apongezwe aliyefungua r/Tanzanias alifanya vyema sana.
 
Uko vyema sana huu, kama ask Jeeves, kama Google ask, tofauti ukiuliza chako wajibiwa na binadamu...
 
Back
Top Bottom