Mwongo ni Rais wa TUCTA. Hata lugha ya mwili wake inamsuta. Serikali imekwenda na majibu tayari na haitabadilika. Yeye anasema wameipa muda ije na majibu, majibu gani wakati tayari wanayo?Nani anaundanganya Umma wa Tanzania au Watumishi wa umma wa nchi hii? Msemaji wa serikali anasema wamewapa viongozi wa TUCTA muda wakajadiliane.Wakati huo huo Rais wa TUCTA anasema wameipa serikali muda ije na majibu kwa nini nyongeza ya mshahara imekuwa tofauti. Kwa vyovyote vile kati ya TUCTA na serikali upande mmoja unawadanganya wafanyakazi wa nchi hii.
Nyamhokya anataka 23.3% iongezeke kwa mishahara yote kama ilivyofanyika miaka ya nyuma.Mwongo ni Rais wa TUCTA. Hata lugha ya mwili wake inamsuta. Serikali imekwenda na majibu tayari na haitabadilika. Yeye anasema wameipa muda ije na majibu, majibu gani wakati tayari wanayo?...
Tucta ilikuwa ile ya Mgaya, JK hawezi kuisahau.Mwongo ni Rais wa TUCTA. Hata lugha ya mwili wake inamsuta. Serikali imekwenda na majibu tayari na haitabadilika. Yeye anasema wameipa muda ije na majibu, majibu gani wakati tayari wanayo? Wafanyakazi wanaongozwa na Afisa Kipenyo Nyamhokya halafu wanajiona wanatetewa? Nyamuhokya anafanya kazi wapi? Si yuko serikali kuu? Chini ya RAS? TUCTA ilipokuwa inaongozwa na wafanyakazi halisi ilikuwa na nguvu siyo sasa inaongozwa na Watumishi
Wewe kila kitu ni South Africa!Tucta ilikuwa ile ya Mgaya, JK hawezi kuisahau.
South Africa usipoenda sawa na shirikisho la vyama vya wafanyakazi imekula kwako, wako powerful na hakuna mamluki.
Tafuta kazi ya kufanya siyo kushinda mitandaoni kupiga umbea tu.Wewe kila kitu ni South Africa!
Sawa mh Mabuza!Tafuta kazi ya kufanya siyo kushinda mitandaoni kupiga umbea tu.
South Africa ndio sample kwa nchi zetu za kusadikika na mifumo imara ya taasisi zao ambapo hata Rais hana uwezo wa kuingilia.
Viongozi wa serikali ni waongo na viongozi wa TUCTA ni waongo, Tanzania tunapenda sana uongo, anayekopeshwa muongo na anayekopesha muongo.Nani anaundanganya Umma wa Tanzania au Watumishi wa umma wa nchi hii? Msemaji wa serikali anasema wamewapa viongozi wa TUCTA muda wakajadiliane...
Nashangaa mleta mada ameshindwa kumjua muongo moja Kwa moja. Wafanyakazi Wana hasara kama wataendelea kumuamini Wakala wa Ibilisi Nyamuhokya.Nyamhokya anataka 23.3% iongezeke kwa mishahara yote kama ilivyofanyika miaka ya nyuma.
Huu ni Uwongo wa Mchana, mishahara huwa haipandi yote kwa rate moja
Uko sahihi kabisa. Tucta ni shirikisho la vyama vya Wafanyakazi, na Nyamuhokya si sehemu ya Wafanyakazi ni sehemu ya waajiri maana RAS ni mwajiri na yeye ni msaidizi wa RAS. Ni Sawa na kumsikiliza Majaliwa anasema Wafanyakazi wenzangu.Tucta ilikuwa ile ya Mgaya, JK hawezi kuisahau.
South Africa usipoenda sawa na shirikisho la vyama vya wafanyakazi imekula kwako, wako powerful na hakuna mamluki.
Hatari sanaUko sahihi kabisa. Tucta ni shirikisho la vyama vya Wafanyakazi, na Nyamuhokya si sehemu ya Wafanyakazi ni sehemu ya waajiri maana RAS ni mwajiri na yeye ni msaidizi wa RAS. Ni Sawa na kumsikiliza Majaliwa anasema Wafanyakazi wenzangu.