Nani Muongo kati ya Msemaji wa Serikali na Rais wa TUCTA?

Nimeikumbuka CWT ya Gracian Mkoba
 
Nani anaundanganya Umma wa Tanzania au Watumishi wa umma wa nchi hii? Msemaji wa serikali anasema wamewapa viongozi wa TUCTA muda wakajadiliane.

Wakati huo huo Rais wa TUCTA anasema wameipa serikali muda ije na majibu kwa nini nyongeza ya mshahara imekuwa tofauti.

Kwa vyovyote vile kati ya TUCTA na serikali upande mmoja unawadanganya wafanyakazi wa nchi hii.
Yote ni matapeli tupu
 
Hao wote ni makada watiifu wa kijani hivyo hizo kauli zao lengo kuu ni kuwa adaa penal colony wa serikali
 
Nani anaundanganya Umma wa Tanzania au Watumishi wa umma wa nchi hii? Msemaji wa serikali anasema wamewapa viongozi wa TUCTA muda wakajadiliane.

Wakati huo huo Rais wa TUCTA anasema wameipa serikali muda ije na majibu kwa nini nyongeza ya mshahara imekuwa tofauti.

Kwa vyovyote vile kati ya TUCTA na serikali upande mmoja unawadanganya wafanyakazi wa nchi hii.
Kwani mpaka Mh.Rais anatangaza hiyo NYONGEZA je Tucta na Serikali zilikuwa hazijajadiliana?Ukweli Watumishi Wamepingwa Changa la Macho
 
  • Thanks
Reactions: F4B
Kwani mpaka Mh.Rais anatangaza hiyo NYONGEZA je Tucta na Serikali zilikuwa hazijajadiliana?Ukweli Watumishi Wamepingwa Changa la Macho
Tena na kitu chenye ncha Kali sio kizito tu
 
Back
Top Bottom