Nani Mwandishi jasiri wa kurusha tena kipindi Cha Mchakato Majimboni?

Nani Mwandishi jasiri wa kurusha tena kipindi Cha Mchakato Majimboni?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Hellow Tanganyika!!

Miaka Ile palifana sana kuangalia kipindi Cha Mchakato Majimboni,

Jambo hili lilifanya wagombea wa chama tawala kuhudhuria kipindi sababu usingetokea ungepoteza point Kwa wananchi.

Sasa tunataka tena kipindi hiki kurudi, swali ni nani jasiri wa kukirudisha?
Cc:Pascal Mayalla

Karibuni 🙏
 
Kuna jamaa wa wasafi nadhani Charles William yuko vizuri sana pia kwenye kuhoji maswali technical kwa wahudhuriaji wa midahalo yake.
 
Kuna jamaa wa wasafi nadhani Charles William yuko vizuri sana pia kwenye kuhoji maswali technical kwa wahudhuriaji wa midahalo yake.
Ile title ya kipindi

" Mchakato Majimboni" ilikuwa hamasa tosha.

Waandishi waongeze seriousness.
 
Yoyote Atakayeanzisha Ajue CCM Itahakikisha Figisu Kila Kona Mpaka
 
Hayupo na tena ni sera ya chama cha majizi kuhepa midahalo maana hawana sera za kunadi zaidi ya kusema mama kafanya hiki mama kafanya kile.

Watu kama Tido Mhando hawapo tena hadi wakurugenzi wa mashirika ni machawa siku hizi na wanavaa sare zimeandikwa SSH.
 
Kikeke analiweza hili.
 
Back
Top Bottom