Nani mwenye historia ya John Rupia, Mwana TANU na tajiri wa kwanza mweusi mitaa ya Kariakoo?

Nani mwenye historia ya John Rupia, Mwana TANU na tajiri wa kwanza mweusi mitaa ya Kariakoo?

Alikua mfadhili wa TANU Enzi za mkoloni halafu Wakoloni wala hawakutishia biashara zake; walijali uchumi if I'm not mistaken, sijui kwanini wakoloni weusi hawa wakisikia tu mtu awe na mapenzi tu na upinzani, lazima biashara zake ziingie matatizoni, hawajali uchumi, wanajali chama chao tu!
Kasumba za siasa za ujamaa na kujitegemea.
 
Kuna ukoo wa Lupia huko Tabora, wana macho makubwa kidogo pia ni waongeaji sana,

Bila shaka itakuwa ni sehemu ya familia yake,
Ila hawa nnao wajua mimi wanamaisha ya kawaida sana,
Wengi ni walimu.
Rupia ni ukoo mkubwa sana...hao wa Tabora hata mimi nawasikia wako maeneo ya BACHU
 
Back
Top Bottom