Nani mwenye jukumu la kuweka jiji la Daresalaam katika hali ya usafi?

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,581
Kwa kweli ni aibu jinsi jiji la Daresalam lilivyokuwa chafu, kuanzia uwanja wa ndege mpangilio mbovu,ukija stand ya Magufuri wamejaa wamachinga kila sehemu,nenda sasa pale mbezi ukapande mwendokasi yaani ni kama inchi ambayo haina plani wala muongozo.

Naamini kuna chama kimeshindwa kuongoza au kimechoka sasa kinarazimisha kuwapeleka wananchi wake kama mbuzi,haiwezekana watu wabanane vile kwenye mwendo kasi
Njoo sasa mjini,hapa mchoma chips,kule mama ntilie,gereji,fundi mbao,wachomeleaji,yaani ni vurugu tu,hawa watu hawawezi kutengewa maeneo yao?

Nenda sasa kariakoo yaani wamachinga wamejazana tu katikati ya barabara kiasi kwamba hakuna kwa kupita, yaani ni uchafuuchafu tu.
 
Kwa kweli ni aibu jinsi jiji la Daresalam lilivyokuwa chafu,kuanzia uwanja wa ndege mpangilio mbovu,ukija stand ya Magufuri wamejaa wamachinga kila sehemu,nenda sasa pale mbezi ukapande mwendokasi yaani ni kama inchi ambayo haina plani wala muongozo,
Naamini kuna chama kimeshindwa kuongoza au kimechoka sasa kinarazimisha kuwapeleka wananchi wake kama mbuzi,haiwezekana watu wabanane vile kwenye mwendo kasi
Njoo sasa mjini,hapa mchoma chips,kule mama ntilie,gereji,fundi mbao,wachomeleaji,yaani ni vurugu tu,hawa watu hawawezi kutengewa maeneo yao?
Nenda sasa kariakoo yaani wamachinga wamejazana tu katikati ya barabara kiasi kwamba hakuna kwa kupita,yaani ni uchafuuchafu tu
Si mlisema mmewapanga wamachinga?
 
Watu wenyewe kwanza wachafu
Suala la usafi linaanzia na wewe
Ukiona mtu mpaka ushikiwe bakora ndiyo uwe msafi basi hapo shuguli ipooo

Ova
 
Hata akili zao ni za uchafuuchafu
 
Suala la usafi au uchafu linajengwa na mtu mmoja mmoja kwanza kabla ya kwenda huko kwa wakubwa...
 
Naamini hata hao wakubwa ndiyo wenye matatizo makubwa,haiwezekani waruhusu watu wajazane vile kwenye mwendokasi,kwa akili ya kawaida Uongozi umewashinda kilichobaki ni kulazimisha,
Njoo sasa kwenye umeme ni yaleyale,kilichobaki kusifiana tu ujinga
 
Kwa kweli ni aibu jinsi jiji la Daresalam lilivyokuwa chafu, kuanzia uwanja wa ndege mpangilio mbovu,ukija stand ya Magufuri wamejaa wamachinga kila sehemu,nenda sasa pale mbezi ukapande mwendokasi yaani ni kama inchi ambayo haina plani wala muongozo.

Naamini kuna chama kimeshindwa kuongoza au kimechoka sasa kinarazimisha kuwapeleka wananchi wake kama mbuzi,haiwezekana watu wabanane vile kwenye mwendo kasi
Njoo sasa mjini,hapa mchoma chips,kule mama ntilie,gereji,fundi mbao,wachomeleaji,yaani ni vurugu tu,hawa watu hawawezi kutengewa maeneo yao?

Nenda sasa kariakoo yaani wamachinga wamejazana tu katikati ya barabara kiasi kwamba hakuna kwa kupita, yaani ni uchafuuchafu tu.
Hatakuja tokea mtu creative kama Charles Keenja, alilifanya jiji kuwa safi sana miaka ya 90 kama sijakose
 
Naamini hata hao wakubwa ndiyo wenye matatizo makubwa,haiwezekani waruhusu watu wajazane vire kwenye wendokasi,kwa akili ya kawaida Uongozi umewashinda kilichobaki ni kulazimisha,
Njoo sasa kwenye umeme ni yaleyale,kilichobaki kusifiana tu ujinga

Hao wakubwa kabla hawajawa wakubwa walikuwa wadogo hivyo tabia zao zimeambatana nao hadi wanafikia kuwa viongozi...
 
Kwa kweli ni aibu jinsi jiji la Daresalam lilivyokuwa chafu, kuanzia uwanja wa ndege mpangilio mbovu,ukija stand ya Magufuri wamejaa wamachinga kila sehemu,nenda sasa pale mbezi ukapande mwendokasi yaani ni kama inchi ambayo haina plani wala muongozo.

Naamini kuna chama kimeshindwa kuongoza au kimechoka sasa kinarazimisha kuwapeleka wananchi wake kama mbuzi,haiwezekana watu wabanane vile kwenye mwendo kasi
Njoo sasa mjini,hapa mchoma chips,kule mama ntilie,gereji,fundi mbao,wachomeleaji,yaani ni vurugu tu,hawa watu hawawezi kutengewa maeneo yao?

Nenda sasa kariakoo yaani wamachinga wamejazana tu katikati ya barabara kiasi kwamba hakuna kwa kupita, yaani ni uchafuuchafu tu.
Sababu ni ulevi wa madaraka. Ukiwagusa wanaofanya biashara hata kwenye service road, stend pamoja na katikati ya barabara hasa mtaa wa Congo utaambiwa waache hao wapiga kura wangu. Yaani mtu anajimilikisha wapiga kura wake hata kama wataleta kipindupindu kwake yeye ni sawa. Bata wahed!
 
Naamini hata hao wakubwa ndiyo wenye matatizo makubwa,haiwezekani waruhusu watu wajazane vile kwenye mwendokasi,kwa akili ya kawaida Uongozi umewashinda kilichobaki ni kulazimisha,
Njoo sasa kwenye umeme ni yaleyale,kilichobaki kusifiana tu ujinga
wabongo kwa kuadapt shida wapo vzr ndo imani yao
 
Sababu ni ulevi wa madaraka. Ukiwagusa wanaofanya biashara hata kwenye service road, stend pamoja na katikati ya barabara hasa mtaa wa Congo utaambiwa waache hao wapiga kura wangu. Yaani mtu anajimilikisha wapiga kura wake hata kama wataleta kipindupindu kwake yeye ni sawa. Bata wahed!
Watu kama hao walipata madaraka kwa rushwa na hawana sifa za kuongoza
 
View: https://x.com/diversity2028/status/1901985244493848839?t=-PctC4hywmjU0CldYFNRzA&s=19

Kwa kweli ni aibu jinsi jiji la Daresalam lilivyokuwa chafu, kuanzia uwanja wa ndege mpangilio mbovu,ukija stand ya Magufuri wamejaa wamachinga kila sehemu,nenda sasa pale mbezi ukapande mwendokasi yaani ni kama inchi ambayo haina plani wala muongozo.

Naamini kuna chama kimeshindwa kuongoza au kimechoka sasa kinarazimisha kuwapeleka wananchi wake kama mbuzi,haiwezekana watu wabanane vile kwenye mwendo kasi
Njoo sasa mjini,hapa mchoma chips,kule mama ntilie,gereji,fundi mbao,wachomeleaji,yaani ni vurugu tu,hawa watu hawawezi kutengewa maeneo yao?

Nenda sasa kariakoo yaani wamachinga wamejazana tu katikati ya barabara kiasi kwamba hakuna kwa kupita, yaani ni uchafuuchafu tu.
Check Addis Ababa, Ethipia.

Buwa wanaenda kwenye majiji ya watu, hata kunifunza hakuna.

Watu wenye matumbo makubwa ni changamoto.
 
Back
Top Bottom