Nani mwenye jukumu la kuweka jiji la Daresalaam katika hali ya usafi?

Kwa kweli ni aibu jinsi jiji la Daresalam lilivyokuwa chafu, kuanzia uwanja wa ndege mpangilio mbovu,ukija stand ya Magufuri wamejaa wamachinga kila sehemu,nenda sasa pale mbezi ukapande mwendokasi yaani ni kama inchi ambayo haina plani wala muongozo.

Naamini kuna chama kimeshindwa kuongoza au kimechoka sasa kinarazimisha kuwapeleka wananchi wake kama mbuzi,haiwezekana watu wabanane vile kwenye mwendo kasi
Njoo sasa mjini,hapa mchoma chips,kule mama ntilie,gereji,fundi mbao,wachomeleaji,yaani ni vurugu tu,hawa watu hawawezi kutengewa maeneo yao?

Nenda sasa kariakoo yaani wamachinga wamejazana tu katikati ya barabara kiasi kwamba hakuna kwa kupita, yaani ni uchafuuchafu tu.
Mlete Makonda Dar
 
Usafi ni mwitikio wa pamoja,viongozi na wananchi.

Pia nchi yetu imejaa wapumbafu hasa wanasiasa ndio tatizo kubwa.
 
Kwa kweli ni aibu jinsi jiji la Daresalam lilivyokuwa chafu, kuanzia uwanja wa ndege mpangilio mbovu,ukija stand ya Magufuri wamejaa wamachinga kila sehemu,nenda sasa pale mbezi ukapande mwendokasi yaani ni kama inchi ambayo haina plani wala muongozo.

Naamini kuna chama kimeshindwa kuongoza au kimechoka sasa kinarazimisha kuwapeleka wananchi wake kama mbuzi,haiwezekana watu wabanane vile kwenye mwendo kasi
Njoo sasa mjini,hapa mchoma chips,kule mama ntilie,gereji,fundi mbao,wachomeleaji,yaani ni vurugu tu,hawa watu hawawezi kutengewa maeneo yao?

Nenda sasa kariakoo yaani wamachinga wamejazana tu katikati ya barabara kiasi kwamba hakuna kwa kupita, yaani ni uchafuuchafu tu.
Unazungumzia plan au uchafu?
 
Kuifanya Dar kuwa safi wala siyo kazi kubwa sema hawa viongozi wetu wa mkoa wanatuangusha sana ,jiji kubwa na lenye sifa kama lile lilipaswa liwe safi na liwe la mfano but ndo vile tena viongozi wetu hawalioni hili. Kitu ni muhimu ni kuhakikisha kila mtaa maeneo ya mjini yanakuwa na vifaa vya kuhifadhia taka laini na zile ngumu then unawatangazia wananchi kuwa ni marufuku kutupa taka barabarini na ukikamatwa fine 50,000/= Kisha unaweka mgambo kila mtaa kwa ajili ya kukamata watupa takataka hovyo na akimkamata mtu akalipa fine basi mgambo kamisheni yake ni 10,000/= hapo jiji wangepata pesa na baadae watu wangezoea na kuacha kabisa kutupa taka hovyo.Mfano wa kuigwa ni pale Moshi town watu wameweza na mji umekuwa msafi kabsa.
 
Back
Top Bottom