Si mlisema mmewapanga wamachinga?Kwa kweli ni aibu jinsi jiji la Daresalam lilivyokuwa chafu,kuanzia uwanja wa ndege mpangilio mbovu,ukija stand ya Magufuri wamejaa wamachinga kila sehemu,nenda sasa pale mbezi ukapande mwendokasi yaani ni kama inchi ambayo haina plani wala muongozo,
Naamini kuna chama kimeshindwa kuongoza au kimechoka sasa kinarazimisha kuwapeleka wananchi wake kama mbuzi,haiwezekana watu wabanane vile kwenye mwendo kasi
Njoo sasa mjini,hapa mchoma chips,kule mama ntilie,gereji,fundi mbao,wachomeleaji,yaani ni vurugu tu,hawa watu hawawezi kutengewa maeneo yao?
Nenda sasa kariakoo yaani wamachinga wamejazana tu katikati ya barabara kiasi kwamba hakuna kwa kupita,yaani ni uchafuuchafu tu
Yaani ukitoka kwenye miji ya wenzetu halafu ukafika Dar ni kichefuchefu,ndiyo maana Michael Jackson alibana pua sababa ya harufu mbayaMkurugenzi wa jiji ana kitambi unategemea nini?
Hata akili zao ni za uchafuuchafuWatu wenyewe kwanza wachafu
Suala la usafi linaanzia na wewe
Ukiona mtu mpaka ushikiwe bakora ndiyo uwe msafi basi hapo shuguli ipooo
Ova
Naamini hata hao wakubwa ndiyo wenye matatizo makubwa,haiwezekani waruhusu watu wajazane vile kwenye mwendokasi,kwa akili ya kawaida Uongozi umewashinda kilichobaki ni kulazimisha,Suala la usafi au uchafu linajengwa na mtu mmoja mmoja kwanza kabla ya kwenda huko kwa wakubwa...
Hatakuja tokea mtu creative kama Charles Keenja, alilifanya jiji kuwa safi sana miaka ya 90 kama sijakoseKwa kweli ni aibu jinsi jiji la Daresalam lilivyokuwa chafu, kuanzia uwanja wa ndege mpangilio mbovu,ukija stand ya Magufuri wamejaa wamachinga kila sehemu,nenda sasa pale mbezi ukapande mwendokasi yaani ni kama inchi ambayo haina plani wala muongozo.
Naamini kuna chama kimeshindwa kuongoza au kimechoka sasa kinarazimisha kuwapeleka wananchi wake kama mbuzi,haiwezekana watu wabanane vile kwenye mwendo kasi
Njoo sasa mjini,hapa mchoma chips,kule mama ntilie,gereji,fundi mbao,wachomeleaji,yaani ni vurugu tu,hawa watu hawawezi kutengewa maeneo yao?
Nenda sasa kariakoo yaani wamachinga wamejazana tu katikati ya barabara kiasi kwamba hakuna kwa kupita, yaani ni uchafuuchafu tu.
Naamini hata hao wakubwa ndiyo wenye matatizo makubwa,haiwezekani waruhusu watu wajazane vire kwenye wendokasi,kwa akili ya kawaida Uongozi umewashinda kilichobaki ni kulazimisha,
Njoo sasa kwenye umeme ni yaleyale,kilichobaki kusifiana tu ujinga
Too low from you, netapussyMkurugenzi wa jiji ana kitambi unategemea nini?
Sababu ni ulevi wa madaraka. Ukiwagusa wanaofanya biashara hata kwenye service road, stend pamoja na katikati ya barabara hasa mtaa wa Congo utaambiwa waache hao wapiga kura wangu. Yaani mtu anajimilikisha wapiga kura wake hata kama wataleta kipindupindu kwake yeye ni sawa. Bata wahed!Kwa kweli ni aibu jinsi jiji la Daresalam lilivyokuwa chafu, kuanzia uwanja wa ndege mpangilio mbovu,ukija stand ya Magufuri wamejaa wamachinga kila sehemu,nenda sasa pale mbezi ukapande mwendokasi yaani ni kama inchi ambayo haina plani wala muongozo.
Naamini kuna chama kimeshindwa kuongoza au kimechoka sasa kinarazimisha kuwapeleka wananchi wake kama mbuzi,haiwezekana watu wabanane vile kwenye mwendo kasi
Njoo sasa mjini,hapa mchoma chips,kule mama ntilie,gereji,fundi mbao,wachomeleaji,yaani ni vurugu tu,hawa watu hawawezi kutengewa maeneo yao?
Nenda sasa kariakoo yaani wamachinga wamejazana tu katikati ya barabara kiasi kwamba hakuna kwa kupita, yaani ni uchafuuchafu tu.
wabongo kwa kuadapt shida wapo vzr ndo imani yaoNaamini hata hao wakubwa ndiyo wenye matatizo makubwa,haiwezekani waruhusu watu wajazane vile kwenye mwendokasi,kwa akili ya kawaida Uongozi umewashinda kilichobaki ni kulazimisha,
Njoo sasa kwenye umeme ni yaleyale,kilichobaki kusifiana tu ujinga
Watu kama hao walipata madaraka kwa rushwa na hawana sifa za kuongozaSababu ni ulevi wa madaraka. Ukiwagusa wanaofanya biashara hata kwenye service road, stend pamoja na katikati ya barabara hasa mtaa wa Congo utaambiwa waache hao wapiga kura wangu. Yaani mtu anajimilikisha wapiga kura wake hata kama wataleta kipindupindu kwake yeye ni sawa. Bata wahed!
Kwanini mkuu?Too low from you, netapussy
Kama unaongozwa na wajinga lazima mambo yawe mabayaYaani ukitoka kwenye miji ya wenzetu halafu ukafika Dar ni kichefuchefu,ndiyo maana Michael Jackson alibana pua sababa ya harufu mbaya
kitambi na ukurugenz😅😅 au ndo ile logic wenye vtambi ni wezi wa mali za ummaKwanini mkuu?
Ni wazembe pia wanapenda sn kulakitambi na ukurugenz😅😅 au ndo ile logic wenye vtambi ni wezi wa mali za umma
Check Addis Ababa, Ethipia.Kwa kweli ni aibu jinsi jiji la Daresalam lilivyokuwa chafu, kuanzia uwanja wa ndege mpangilio mbovu,ukija stand ya Magufuri wamejaa wamachinga kila sehemu,nenda sasa pale mbezi ukapande mwendokasi yaani ni kama inchi ambayo haina plani wala muongozo.