Nani mwenye jukumu la kuweka jiji la Daresalaam katika hali ya usafi?

Mlete Makonda Dar
 
Usafi ni mwitikio wa pamoja,viongozi na wananchi.

Pia nchi yetu imejaa wapumbafu hasa wanasiasa ndio tatizo kubwa.
 
Unazungumzia plan au uchafu?
 
Kuifanya Dar kuwa safi wala siyo kazi kubwa sema hawa viongozi wetu wa mkoa wanatuangusha sana ,jiji kubwa na lenye sifa kama lile lilipaswa liwe safi na liwe la mfano but ndo vile tena viongozi wetu hawalioni hili. Kitu ni muhimu ni kuhakikisha kila mtaa maeneo ya mjini yanakuwa na vifaa vya kuhifadhia taka laini na zile ngumu then unawatangazia wananchi kuwa ni marufuku kutupa taka barabarini na ukikamatwa fine 50,000/= Kisha unaweka mgambo kila mtaa kwa ajili ya kukamata watupa takataka hovyo na akimkamata mtu akalipa fine basi mgambo kamisheni yake ni 10,000/= hapo jiji wangepata pesa na baadae watu wangezoea na kuacha kabisa kutupa taka hovyo.Mfano wa kuigwa ni pale Moshi town watu wameweza na mji umekuwa msafi kabsa.
 
Waanzishe soma la ustaarabu mashuleni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…