Nani mwenye shaka juu ya demokrasia ya nchi za Magaharibi hasa baada ya Waziri Mkuu Uingereza kujiuzulu?

kademokrasia katoweka
 
Tatizo wengine ukiwaambia ukweli unakuwa ni Adui yao !! Watakuja banyamulenge wa kukudhuru au kukutusi !!
Ni ujinga tu kwa kuwa maoni ni ya jumla bila kulenga mtu mmoja kwa ajili ya kupanua fikra kwa faida ya kizazi hiki na vijavyo.
Kudhuru au kutusi kunasababishwa na uhayawani wa kichawa/mbwa.
Binadamu atatafsiri hoja, ajibu kwa hoja kinzani na kujirekebisha inapobidi
 
Exactly ndivyo waungwana wenye Akili na hekima wafanyavyo. !!
 
3 December 2019
Helsinki, Finland

Waziri mkuu ajiuzulu baada ya miezi sita ya kuwa madarakani. Hii ni baada ya washirika wake ktk serikali ya umoja wa kitaifa kujitoa kwa madai ya waziri mkuu kushindwa kutatua madai ya wafanyakazi wa huduma za posta na shirika la ndege Finnair kugoma


Finland’s prime minister resigns over postal service dispute​

Finland's prime minister says he is resigning after a key coalition partner withdrew its support from his five-party Cabinet
By
JARI TANNER Associated Press
December 3, 2019, 9:51 AM ET
• 3 min read

News headlines today: Dec. 23, 2020Catch up on the developing stories making headlines.The Associated Press

HELSINKI -- Finland's prime minister resigned Tuesday after a key coalition partner withdrew its support from his five-party government following a strike at the country’s postal service that spread to the national flag carrier Finnair.

Antti Rinne, who only took office in June, has faced heavy criticism in recent days over how he and a fellow Social Democratic minister dealt with a two-week strike of the country’s state-owned postal service Posti in November READ MORE : Finland’s prime minister resigns over postal service dispute
 
9 October 2022
Vienna, Austria

Waziri mkuu chancellor Sebastian Kurz wa Austria ajiuzulu

Soma zaidi



Austrian Chancellor Sebastian Kurz suddenly resigned Saturday amid corruption allegations regarding his use of federal funds that was leading to a potential no-confidence vote from opposition leaders.

According to The Washington Post, 35-year-old Kurz denied the allegations against him but recommended that power be transferred to Austrian Foreign Minister Alexander Schallenberg.

"My country is more important to me than my person," Kurz said during a televised address Saturday, according to the Washington Post. "I want to make space, to prevent chaos and ensure stability."

Members of Parliament were planning to hold a vote of no-confidence against Cruz on Tuesday after officials last week announced that he and some of his closest allies were the subjects of a corruption investigation.

According to a report from Bloomberg, Kurz and nine others are accused of using federal funds to pay a newspaper publisher to help him achieve his speedy rise to power. His offices were raided by authorities on Wednesday, according to The Washington Post.
 
Ni ngumu sana kulinganisha wao na inawenyewe kuna tofauti kubwa. Inawenyewe wabinafsi lakini wao wamoja kwa maslahi ya wote.
 
NAOMBENI anaejua anisaidie.

KWANINI HIZO NCHI ZINAITWA NCHI ZA MAGHARIBI
 
Tofautisha serikali zinazoongozwa na Mawaziri Wakuu na zile zinazoongozwa na Marais. Mawaziri Wakuu wengi hawapigiwi kura moja kwa moja na wananchi. Mfano Uingereza. Mbona hatusikii wabunge wa Uingereza (wanaopigiwa kura moja kwa moja na wananchi hawajiuzulu?)

Marais mfano wa Tanzania, Ufaransa na Marekani hawewezi kujiuzulu ovyo ovyo kwasababu wana dhamana kubwa waliyopewa na wananchi wao kutoka kwenye sanduku la kura. Kama unabisha, nitajie Rais wa nchi mojawapo aliyepigiwa kura na wananchi halafu akajiuzulu kiholelaholela.
 
Wewe ni mtu mjinga nadhani wa mwisho apa jf kama kweli umeenda shule basi nasikitika kukwambia kwamba ulipoteza muda na ada yako bure yaani unaongea as if huna ubongo mkuu wangu aseee

Yaani u ajaribu kumaanisha nini kwa hiki unachokiongea je nini unafahamu kuhusu hii dhana ya uwajibikaji yani na nini unafahamu kuhusu demokrasia
 
Mi ni mjinga, sawa. Lakini wewe utakuwa MPUMBAVU NAMBA MOJA HUMU JF. Mi mi nimetoa mawazo yangu. Kwa UPUMBAVU WAKO umeshindwa na wewe kutoa hoja zako kupinga za kwangu unanitukana. SHENZI TAIPU!!
 
Huku kutaka kuwa kama wenzetu tukumbuke pia wao hawakuwa hivyo kwa matokeo ya siku moja kama ambavyo sisi tunataka iwe.
 
Wakati Wale walikuwa wanaimba " Tuna Imani na Lo..... oyaaa oyaaa oyaaa

Halafu jamaa aliposhika kijiti akasema hiiii yaani mimi nusu wange....

Sasa unafikiri huyo wa kwanza kusema hatuna Imani na Rais au PM nani ataongea akinyakuliwa?
Kwa Afrika hapana kabisa hata Amini alisema
There is Freedom of speech but I cannot guarantee Freedom after Speech
 
22 October 2022
Rome, Italy

LIVE: Giorgia Meloni To Be Sworn In as Italy’s 1st woman PM | Official Swearing-In Ceremony LIVE

 
Giorgia Meloni: We are ready to govern Italy


Brothers of Italy (Fratelli d'Italia). Brothers of Italy is a national-conservative and right-wing populist political party in Italy led by Giorgia Meloni.

More info :

21 October 2022

MELONI GOVERNMENT, ALBANO: A PAGE OF ITALIAN HISTORY WRITTEN​




“Giorgia Meloni and the Brothers of Italy worked silently to quickly form a government capable of giving concrete and immediate responses to citizens. Thus, in a record time also defined by the President of the Republic, the government of the first female Prime Minister was born. Today we are writing a page of history but starting tomorrow we will be called to work for the future of Italy. We are aware of the delicacy of the moment and for this reason we will act with great responsibility ”.

Lucia Albano, deputy of the Brothers of Italy, declares it.
Source : Governo Meloni, Albano: scritta una pagina di storia italiana - Fratelli d'Italia
 

08 July 2023

Tunajiuzulu baada ya kukosa utashi wa kisiasa / legitimacy asema Mh. Mark Rutte waziri mkuu wa Belgium

Kwa mara nyingine nchi ya Belgium inashuhudia waziri mkuu wa serikali akijiuzulu kutokana na kushindwa sera na hoja zake kueleweka. Nchi hii ya ulaya ina historia ya kujiendesha yenyewe hata pale wanasiasa kama waziri mkuu kujiuzulu na kukosekana waziri mkuu kwa kipindi kirefu kutokana na mifumo imara ya uendeshaji nchi ulio shirikishi usiotegemea mtu bali watendaji makini katika ngazi za serikali kuu kama makatibu wa mawizara na watendaji katika serikali za mitaa.


Dutch Prime Minister Mark Rutte has resigned after the collapse of his coalition government sparked by disagreements over the country's refugee policy. For months, ministers have been discussing new measures to limit the flow of asylum seekers into the Netherlands, but after failing to reach a consensus on Friday, the four-party coalition crumbled.
 
kwa jicho la juu juu ni kweli, lakini unaweza kunipa mfano wa nchi za magharibi zenye rais anayechaguliwa na watu akijiuzulu "ovyo ovyo"? Mfano mmoja tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…