Nani mwimbaji bora wa Gospo wa mda wote Tanzania?

Nani mwimbaji bora wa Gospo wa mda wote Tanzania?

Ni ngumu kuwa na jina moja kwenye maeneo yote.
Sifa-rose muhando
Kuabudu-sedekia
Faraja-ambwene
Modern gospel-shusho
 
Bahati Bukuku na Rose Muhando.Wengine hao,mara watoe nyimbo nzuri leo,kesho wanaboronga.
 
Ni ngumu kuwa na jina moja kwenye maeneo yote.
Sifa-rose muhando
Kuabudu-sedekia
Faraja-ambwene
Modern gospel-shusho
Shusho,mwanamke mzuri sana,huwa nikiwa naangalia video zake,nakua sielewi anachoimba,zaidi ya kuutafakari uumbaji wa MUUMBA.Ana sura nzuri,body structure nzuri,hakika ni mzuri.
 
Shusho,mwanamke mzuri sana,huwa nikiwa naangalia video zake,nakua sielewi anachoimba,zaidi ya kuutafakari uumbaji wa MUUMBA.Ana sura nzuri,body structure nzuri,hakika ni mzuri.
Kwahyo mzee wewe unaangalia uumbaji tu [emoji16][emoji16]
Huzingatii content?
Dah....ww oda yake pale lake oil ipo tayar [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu mimi ni christina shusho rose muhando anatumia energy nyingi kuimba lakini christina shusho taratibu anaimba na nyimbo unaikubali kama hit song yake ya sasaivi nashusha nyavu
 
Kwa wanawake shusho kwa wakiume sina jibu ila new school gosper singer the best for men ni joel lwaga haya ni maoni yangu binafsi jamaa anajua kuimba
 
Rose Muhando. Ana hits song za gospel nyingi sana.

Ameanza kukimbiza toka zama za giza na mpaka zama za digital bado anawakimbiza vijana
 
Rose Muhando? Bahati Bukuku? Christina Shusho? Bonny Mwaitege? Upendo Nkone? Jennifer Mgendi? Beatrice Muhone? Ambwene Mwasongwe? Martha Mwaipaja? Flora Mbasha?.............
Shusho
 
Back
Top Bottom