Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanazipata wapi???Info zenu wanazipata wapi!!!
Wanazipata wapi???
Wewe CV yako haina info zako?
Haujaona sehemu wanayoonyesha kwamba wamepokea resume na kumwambia mtumiwa email amepass kwa reference aliyoomba?Umesoma na kuelewa wanayoandika au?
Sasa unataka wapigaji wale wapi mzee??Asante kwa ushauri Mkuu
Ndo Maana nikaona nishare humu, na nikataka kujua na kama kuna watu wengine wametumiwa Maana siku hizi wapigaji ni wengi
Kausha mjini shuleDah afu unaeza kuta ni wabongo tu
Ndo tunafanyiana hivi
Wakuuu Mambo vipi tena kwenu mimi
Mtumishi wa Mungu,
Naulizia hivi nani Mwingine katumiwa hii email ya fundsforafrica waliiiona Tangazo
Mimi nimetumiwa lakini siielewi elewi
Kwenye zile nafasi za procurement na field officer
View attachment 1919283
Info zenu wanazipata wapi!!!
😀 😀 😀 asanteninsana kwa taarifa wadau, angalau itasaidia wengine kutopigwa na hawa jamaa.Ndugu yangu katumiwa email kama hii! Yeye aliomba nafasi ya Program Manager! Baada ya email akajiunga na kulipia ili kufanya hiyo Psychometric Test! Akalipia $45 na kuifanya! Akafaulu vizuri tu (95%) na wakamtumia cheti! Alipowasilisha cheti hakujibiwa tena! Leo tayari wiki moja imepita!!! Baada ya mimi kuwafuatilia nikapata jamaa yangu mwingine naye walimtumia email kama hiyo! Bahati nzuri akaistukia akaachana nao ndo ikawa pona yake! Funds for Afrika ni matapeli 100%!!!