Nani ndo anampata mwanamke easily?

Nani ndo anampata mwanamke easily?

Amini usiamini
Hilo deko
Linamezwa na utajili na fun pia
Aah hapana for me! Awe romantic tu pesa na utajiri tutatafuta wote😀 najua huamini ila ipo hivo tena hao matajiri sana hawanaga muda wa romantic issues wanawaza miradi tu, ukitaka kutoka out naye anakwambia aah babe nenda mwenyewe na driver na ile range, chukua na kadi ya bank! Sasa hapo ni mke ama business partner tu.

Na babe wangu wa kawaida nikimwambia tutoke out twende zetu hata coco beach tukale mihogo na vimishkaki buku buku tunaenda huku tukiwa tumeshikana mikono maana tuanaenda kwa miguu tu🤔😜 raha hiyoo
 
Huo ujinga utafanya pekeyako....
mwanamke ana thamani ukitaka kumpiga dudu tu baas.....
 
Aah hapana for me! Awe romantic tu pesa na utajiri tutatafuta wote[emoji3] najua huamini ila ipo hivo tena hao matajiri sana hawanaga muda wa romantic issues wanawaza miradi tu, ukitaka kutoka out naye anakwambia aah babe nenda mwenyewe na driver na ile range, chukua na kadi ya bank! Sasa hapo ni mke ama business partner tu.

Na babe wangu wa kawaida nikimwambia tutoke out twende zetu hata coco beach tukale mihogo na vimishkaki buku buku tunaenda huku tukiwa tumeshikana mikono maana tuanaenda kwa miguu tu[emoji848][emoji12] raha hiyoo

Uzuri wa kuongea [emoji23][emoji23][emoji23]
Haushahabiani na vitendo
 
Huo ujinga utafanya pekeyako....
mwanamke ana thamani ukitaka kumpiga dudu tu baas.....
Daah mkuu gentlemen wanaojua thamani ya mwanamke wanahudumia hivo muda wote si muda wa kunyanduana kuna vitu vingi vizuri zaidi ya hivo,alafu tuheshimu basi japo kidogo hayo maneno yako hapo mmh😏

kwahiyo wewe thamani ya mkeo ni wakati wa mnyanduano tu? Hamna kitu kingine anaweza kukwambia kukushauri cha maana? Unahisi kwanini?
 
Ndio ukweli huo nimekupa.....
au unataka nikudanganye...
 
Back
Top Bottom