Vetting a new girlfriend like you would be shopping for a new car.Kati ya hawa guys wafuatao ni nani anaweza akauteka moyo wa mwanamke easily?
1.FUNNY GUY
2.ROMANTIC GUY
3.RICH GUY
4.HANDSOME GUY
Utadekezwa pila PesaRomantic guy! Yaani anidekeze tu kama toto dogo kumbe jitu zima dah😍 hivo vingine vyote majaaliwa
Yes unahisi haiwezekani! Madekezo kwa walio na pesa pekee mkuu?Utadekezwa pila Pesa
Kudekezwa ni pamoja na kuhudumiwa, ndio hapo umuhimu wa pesa unapokujaYes unahisi haiwezekani! Madekezo kwa walio na pesa pekee mkuu?
HahahahahaIla hiyo Ina depend na age ya huyo binti Kuna age anafika anataka anayepumua tuu
Sawa ila huduma za kawaida tu basic needs, si lazima majumba ya kifahari na magari 🤔Kudekezwa ni pamoja na kuhudumiwa, ndio hapo umuhimu wa pesa unapokuja
Hata basic needs zinahitaji mpunga 🤨Sawa ila huduma za kawaida tu basic needs, si lazima majumba ya kifahari na magari 🤔