Maslai mkuu, huwezi kukaa tu Uwe na jina wakati huna kitu mfukonWatangazaji wakali walikuwepo kama skywalker, uncle sam, dk the simpleman, glory, kid bway n.k ila sijui kuna tatizo gan pale hadi presenters wanahama
Huyu jamaa enzi zle ana show yake j4 na alhamisi (dj mix) nilikuwaga napenda sana kusikiliza ngoma za majuu kutoka kwenye mikono yake kama one time ya j bieber, pretty girl ya iyaz, be with you ya akon, empire state ya jay z. dah, umenikumbusha mbali mkuuDJ John...
Huyu mtu namkubali sana, kwa uwezo mkubwa wa kuchanganya nyimbo na fans wakafuata upepo, hakuna anaemsogelea kwa sasa..!
Kweli kabisaMaslai mkuu, huwezi kukaa tu Uwe na jina wakati huna kitu mfukon
Kweli kabisaMaslai mkuu, huwezi kukaa tu Uwe na jina wakati huna kitu mfukon
Hivi kwanini earadio haikui kama radio nyingine? kwanini wamepooza sana? nini shida?DJ summer wa Ea radio huwa napendezwa na mixing zake, na anapiga nyimbo zote, dini na bongo flava
Pia daladala beats 13hrsdj Tass,from magic fm,kwetu flavour monday to thursday 19-2300hrs.bonge la show bonge la dj.
noma sana,jamaa anachimba ngoma,sio zile ambazo kila mtu anazijua,afu pia ana consistency.Pia daladala beats 13hrs
Hizo mixer zao kwa nini wasiwe wanaziweka kwenye mitandao ili tuwe tunazipakua? Au huwa zinawekwa ila mimi ndo sijui zinapopatikana?Dj seven wa The base ITV na yule mdada wa EFM/TVE Mamie wako vizuri pia.
hot97Funk Master Flex