ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Sinyo anazidiwa mpaka na mami wa efmSinyorita atakuwa DJ mzuri kwa wale wanaovutiwa na picha zake na si uwezo wake kama DJ. Yaani huyo katika list yangu anakaa mwisho kabisa. Kwanza huwa anapoteza flow ya mziki, ukimsikiliza unaweza kuta anatoa nyimbo yenye tempo kubwa ya muziki anaweka slow song kisha anarudi tena katika high tempo. Hana consistency kabisa. Hii inapoteza mzuka wa msikilizaji ama mchezaji. Pili Huyu DJ ni DJ wa hit songs, huwa hafukuagi nyimbo ambazo siyo common masikioni mwa watu akazipiga.
Nakubaliana na wale wanaosema MaDJ wa kiss FM. Jamaa wana Ma DJ wazuri.