Nani ni DJ bora kwa mwaka 2017?

Nani ni DJ bora kwa mwaka 2017?

Sinyorita atakuwa DJ mzuri kwa wale wanaovutiwa na picha zake na si uwezo wake kama DJ. Yaani huyo katika list yangu anakaa mwisho kabisa. Kwanza huwa anapoteza flow ya mziki, ukimsikiliza unaweza kuta anatoa nyimbo yenye tempo kubwa ya muziki anaweka slow song kisha anarudi tena katika high tempo. Hana consistency kabisa. Hii inapoteza mzuka wa msikilizaji ama mchezaji. Pili Huyu DJ ni DJ wa hit songs, huwa hafukuagi nyimbo ambazo siyo common masikioni mwa watu akazipiga.

Nakubaliana na wale wanaosema MaDJ wa kiss FM. Jamaa wana Ma DJ wazuri.
Sinyo anazidiwa mpaka na mami wa efm
 
Aisee huyu na yule na DJ nico
Track huwa nawatizama kama role modal. Ila DJ d ommy moto wa kuotea mbali yaani[emoji95] [emoji95] [emoji95] alafu nitakuekea link za mixing zake kama hutojali mkuu.
Itapendeza mkuu ueke link japo jamaa amekuwa role model wa watu wengi
 
Huyu Dj wa kiss fm ana tamaa sana sijawahi kuona.. Anaomba omba pesa kama mwanamke mshikaji wangu... Daah
non of my business...
m napenda tuu vile anamix

pia muli B ni mkaree 'hao ndo my best djs of all tym!!
 
Kwanza poleni na majukumu wakuu.

Huwa nina tabia ya kusikiliza na kutizama show mbalimbali za kiburudani kwenye radio na tv stations mbalimbali za nchini na nje kwa majirani lakini kwa mwaka huu dj aliyenikosha tukianzia ngoma kali, blending nyoofu, scratching techniques kali, jingles pamoja na maujanja mengine ni huyu jamaa Dj willy b (kiss fm tanzania)

Ni mtazamo tu, hebu na ww mtaje dj wako aliyefanya vizur 2017.
Dj Zero ufipa saccos club
 
dj jeff jerry wa kiss fm..jamaa anajua kupiga hip hop from golden era had leo..ni hatareee jamaa
 
Back
Top Bottom