Nani ni DJ bora kwa mwaka 2017?

Nani ni DJ bora kwa mwaka 2017?

DJ John...
Huyu mtu namkubali sana, kwa uwezo mkubwa wa kuchanganya nyimbo na fans wakafuata upepo, hakuna anaemsogelea kwa sasa..!
Huyu jamaa enzi zle ana show yake j4 na alhamisi (dj mix) nilikuwaga napenda sana kusikiliza ngoma za majuu kutoka kwenye mikono yake kama one time ya j bieber, pretty girl ya iyaz, be with you ya akon, empire state ya jay z. dah, umenikumbusha mbali mkuu
 
Dj Magu
Huyu jamaa ananikosha sana, kweny beat ya singeli anaweka pambio
 
Back
Top Bottom