Madj wengi wa Tz naona hawajafanya hicho kitu,niliona mmoja wa Metro Fm Mwanza akinadi mixer yake mtandaoni pia.Hizo mixer zao kwa nini wasiwe wanaziweka kwenye mitandao ili tuwe tunazipakua? Au huwa zinawekwa ila mimi ndo sijui zinapopatikana?
Anapiga hip hop fulani adimu sana kwa watu wa kawaida kuzipatanoma sana,jamaa anachimba ngoma,sio zile ambazo kila mtu anazijua,afu pia ana consistency.
Baadhi ya ngoma kama za US ziko right protected uki-upload mitandaoni zikiwa mixed zinafutwa.Hizo mixer zao kwa nini wasiwe wanaziweka kwenye mitandao ili tuwe tunazipakua? Au huwa zinawekwa ila mimi ndo sijui zinapopatikana?
Tz mpaka sasa hakuna dj academy iliyowahi kutoa madj tishio ukilinganisha na kenya inayotoa madj tishio kama MTA/ogopa dj academyMadj wa siku hizi wanalingana sana uwezo ....hata kutaja Dj bora unashindwa ....ukiondoa jingle zao wapige kimya kimya unaweza kushindwa kutofautisha ..... wengi ni djz wa hit songs ...siku hizi hatuna tatizo la vifaa bali madj wanaojua muziki kisawasawa ....skills zipo nyingi ila kuna vitu vinakosekana na ukichukulia wengi wanaigana ndio kabisaaa ....level zinaishia pale pale ....Kenya bado wametuacha mbali ....tunahitaji kujifunza ....
Kenya ipo blessed sana upande wa burudani maana kuna djs wakali sana japo sio famousDj Kanji(kenya) huyu jamaa ni mambo bad
pro24 djs unawajua???Tz mpaka sasa hakuna dj academy iliyowahi kutoa madj tishio ukilinganisha na kenya inayotoa madj tishio kama MTA/ogopa dj academy
Sinyorita all the way...
Anajua mziki..
Aisee huyu na yule na DJ nicoKwa mwaka huu Djd_ommy kawakimbiza wanamuita the international dj japo wapo ma dj wengi wnye skills kuliko yeye ila ubaya hawajiongezi wanaishia tu kujificha kwnye radio’s n baadhi ya clubs alfu hawajibrand yan atleast na Dj ommy crazy mikelele na yeye kajitahid mwaka huu kala shavu