Nani ni DJ bora kwa mwaka 2017?

Nani ni DJ bora kwa mwaka 2017?

Kwa mwaka huu Djd_ommy kawakimbiza wanamuita the international dj japo wapo ma dj wengi wnye skills kuliko yeye ila ubaya hawajiongezi wanaishia tu kujificha kwnye radio’s n baadhi ya clubs alfu hawajibrand yan atleast na Dj ommy crazy mikelele na yeye kajitahid mwaka huu kala shavu
 
Madj wa siku hizi wanalingana sana uwezo ....hata kutaja Dj bora unashindwa ....ukiondoa jingle zao wapige kimya kimya unaweza kushindwa kutofautisha ..... wengi ni djz wa hit songs ...siku hizi hatuna tatizo la vifaa bali madj wanaojua muziki kisawasawa ....skills zipo nyingi ila kuna vitu vinakosekana na ukichukulia wengi wanaigana ndio kabisaaa ....level zinaishia pale pale ....Kenya bado wametuacha mbali ....tunahitaji kujifunza ....
 
Dj dea, dj summer wa east afrika radio and Tv, Rdj black Rdj omy crazy wa E.fm
Dj willy B wa kiss fm
 
Madj wa siku hizi wanalingana sana uwezo ....hata kutaja Dj bora unashindwa ....ukiondoa jingle zao wapige kimya kimya unaweza kushindwa kutofautisha ..... wengi ni djz wa hit songs ...siku hizi hatuna tatizo la vifaa bali madj wanaojua muziki kisawasawa ....skills zipo nyingi ila kuna vitu vinakosekana na ukichukulia wengi wanaigana ndio kabisaaa ....level zinaishia pale pale ....Kenya bado wametuacha mbali ....tunahitaji kujifunza ....
Tz mpaka sasa hakuna dj academy iliyowahi kutoa madj tishio ukilinganisha na kenya inayotoa madj tishio kama MTA/ogopa dj academy
 
Kwanza kabisa ma dj wengi wanafanana uwezo na style ya upigaji wao ni vigumu kujua anapiga nani hadi waweke jingle na hivyo hata kusema A ni mkali kuliko B inakuwa ngumu. Hata hivyo baadhi ya madj wakali kwa sasa ni Ally B (The buckets, high spirit na maisha club), Dj dea (Ea radio) D ommy (clouds) Zero (clouds) na ambaye Nampa namba moja ni Mafuvu (Dj huru)
 
Sinyorita all the way...

Anajua mziki..

Sinyorita atakuwa DJ mzuri kwa wale wanaovutiwa na picha zake na si uwezo wake kama DJ. Yaani huyo katika list yangu anakaa mwisho kabisa. Kwanza huwa anapoteza flow ya mziki, ukimsikiliza unaweza kuta anatoa nyimbo yenye tempo kubwa ya muziki anaweka slow song kisha anarudi tena katika high tempo. Hana consistency kabisa. Hii inapoteza mzuka wa msikilizaji ama mchezaji. Pili Huyu DJ ni DJ wa hit songs, huwa hafukuagi nyimbo ambazo siyo common masikioni mwa watu akazipiga.

Nakubaliana na wale wanaosema MaDJ wa kiss FM. Jamaa wana Ma DJ wazuri.
 
Kwa mwaka huu Djd_ommy kawakimbiza wanamuita the international dj japo wapo ma dj wengi wnye skills kuliko yeye ila ubaya hawajiongezi wanaishia tu kujificha kwnye radio’s n baadhi ya clubs alfu hawajibrand yan atleast na Dj ommy crazy mikelele na yeye kajitahid mwaka huu kala shavu
Aisee huyu na yule na DJ nico
Track huwa nawatizama kama role modal. Ila DJ d ommy moto wa kuotea mbali yaani[emoji95] [emoji95] [emoji95] alafu nitakuekea link za mixing zake kama hutojali mkuu.
 
Back
Top Bottom