Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hujapiga kura lakini.binafsi nampa mheshimiwa kubota.
vote pale juumama joe
vote pale juu
tulitoa muda wa watu kupendekeza majina. Sasa ni kupiga kura tu. Pia topics walizopost ujue biashara zao.mjasiriamali na mchuuzi,mkuu labda ungeweka biashara zao ingekuwa fresh,maana namjua malila kwenye kilimo hao wengine wapo kwenye nini hasa? Tusije kuwachagua kumbe ni wachuuzi,ni kweli kabisa jf wapo hao tu wa3? Je yule aliyeanzisha ufugaji wa kuku? Je yule wa miti ya pines? Je yule anayefuga nguruwe? Ebu weka biashara zao na mafanikio yao hapo ndio itakuwa vizuri.
bonyeza kwenye namba ya mtu unayemtaka then uvoteMbona ukichagua vote now inaandika umekosea?
Eberhard sifahamu umetumia vigezo gani kupata candidates watatu, lakini hata katika hao haikuwa matarajio yangu jina la Chasha kukosekana!pigia kura jina moja kati ya haya matatu tupate mjasiriamali bora wa Jamii forum wa mwaka 2013.
1. Mama Joe
2. Kubota
3. Malila
Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 31 December 2013.
No Multiple choice
tulitoa muda wa watu kupendekeza majina. Sasa ni kupiga kura tu. Pia topics walizopost ujue biashara zao.
Aisee. Mpaka sasa mama Joe ana kura Moja. hizi za kuandika hapa hatuziesabu. Nenda ukavote pale juu.Mama Joe nampa kura yangu